technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,653
- 58,544
Adui yetu ni CCM sio UislamuNaona Kuna wapumbavu wameanza kupotosha
Gwajima ameanza kupewa kesi za madawa na Magufuli lakini alishinda.
Na Magufuli mpaka akampa ubunge!!
Kuna wajinga wanasema Gwajima mbona anajitokeza Sasa kwa sababu Samia ni muislamu
Hawa naweza waita wajinga
Gwajima hajawai kunyamazia uhuni wa CCM toka mwaka 2015
Adui yetu ni CCM sio Uislamu
Kujificha kwenye udini ni udhaifu mkubwa wa kushindwa kujibu hoja.
Kibao anatetewa na Gwajima sio kwamba ni muislamu Bali ni Mtanzania
Watanzania wanatekwa
Yaani tuache kutetea Watanzania twende kutetea waparestina?
Hivi Hawa wanapinga hoja za utekaji Wana ajenda gani na Tanzania?
Yupo ustadhijuma ameshaanza hizo choko choko, huyu ni chawa wa mama anataka kujivika Uislam ili kupata uungwaji mkono lakini naona Waislamu wenye kujitambua wamempotezea.Naona Kuna wapumbavu wameanza kupotosha
Gwajima ameanza kupewa kesi za madawa na Magufuli lakini alishinda.
Na Magufuli mpaka akampa ubunge!!
Kuna wajinga wanasema Gwajima mbona anajitokeza Sasa kwa sababu Samia ni muislamu
Hawa naweza waita wajinga
Gwajima hajawai kunyamazia uhuni wa CCM toka mwaka 2015
Adui yetu ni CCM sio Uislamu
Kujificha kwenye udini ni udhaifu mkubwa wa kushindwa kujibu hoja.
Kibao anatetewa na Gwajima sio kwamba ni muislamu Bali ni Mtanzania
Watanzania wanatekwa
Yaani tuache kutetea Watanzania twende kutetea waparestina?
Hivi Hawa wanapinga hoja za utekaji Wana ajenda gani na Tanzania?
Unaambiwa jamii kubwa ya Watanzania ni wajinga, wanashabikia vitu via kipuuzi tu kuliko vya maana na ndipo hapa CCM inapopenda. Magufuli alijitahidi sana kutaka kufuta huu ujinga ila watu walimshangaa kwanini anawaamsha Watanzania waliolala, viongozi wataibaje hela bila kunyoshewa vidole na wananchi na ndiyo maana unamuona Mama anapambana sana kuboreha michezo nchini na kuwapa vijana wa bongo fleva, bongo movie, machawa vipaumbele ili tu wananchi waendelee kuwafuatilia wao na kusahau mambo ya msingi maishani.Naona Kuna wapumbavu wameanza kupotosha
Gwajima ameanza kupewa kesi za madawa na Magufuli lakini alishinda.
Na Magufuli mpaka akampa ubunge!!
Kuna wajinga wanasema Gwajima mbona anajitokeza Sasa kwa sababu Samia ni muislamu
Hawa naweza waita wajinga
Gwajima hajawai kunyamazia uhuni wa CCM toka mwaka 2015
Adui yetu ni CCM sio Uislamu
Kujificha kwenye udini ni udhaifu mkubwa wa kushindwa kujibu hoja.
Kibao anatetewa na Gwajima sio kwamba ni muislamu Bali ni Mtanzania
Watanzania wanatekwa
Yaani tuache kutetea Watanzania twende kutetea waparestina?
Hivi Hawa wanapinga hoja za utekaji Wana ajenda gani na Tanzania?
Nakusahihisha mkuu gwajima ajawai kunyamazia mambo ya watu kuuwawa bila hatia, tangu mwaka 2007 na hapa ndipo alipoanza vita hii Rasmi ni pale tu kilipotokea kifo Cha "Amina chifupa " gwajima ni miongoni mwa viongozi wa kiroho wanao amini kabisa Kuna wazalendo wa kweli kabisa katika nchi wanauwawa kwa kukemea maovu katika nchi.Naona Kuna wapumbavu wameanza kupotosha
Gwajima ameanza kupewa kesi za madawa na Magufuli lakini alishinda.
Na Magufuli mpaka akampa ubunge!!
Kuna wajinga wanasema Gwajima mbona anajitokeza Sasa kwa sababu Samia ni muislamu
Hawa naweza waita wajinga
Gwajima hajawai kunyamazia uhuni wa CCM toka mwaka 2015
Adui yetu ni CCM sio Uislamu
Kujificha kwenye udini ni udhaifu mkubwa wa kushindwa kujibu hoja.
Kibao anatetewa na Gwajima sio kwamba ni muislamu Bali ni Mtanzania
Watanzania wanatekwa
Yaani tuache kutetea Watanzania twende kutetea waparestina?
Hivi Hawa wanapinga hoja za utekaji Wana ajenda gani na Tanzania?
Nakubaliana nawe moja kwa moja, anglia mikoa inayoendekeza Uislam hapa Tanzania ilivyo gizani, watu kusoma hawataki eti ni haram ila anashinda vjiweni na msikitini kupiga story siku nzima na kuteta wanaume wenzao waendao makazini, ni akili kweli hii?na uislamu wa tanzagiza pia ni adui wa maendeleo ya mtu mweusi, kama hamjalijua hilo mpaka leo, nasikitika kusema mnalizunguka tatizo, uislamu wa tanzagiza umekuwa vitani against “mfumo kristo” from day one, lego ni kubomoa “mfumo kristo” …
Mimi ni muislam,lakini na support anachokipigania gwajima,yes anaweza akawa na chuki na waislam lakini kwenye hili tum support....waache kwanza kuteka na kuua watu kama kuku then tutarudi kwenye vita na yeye kwa nn ageuze msikiti uwe Sunday schoolSasa kama adui yenu ni CCM, kwa nini mnataka kugeuza misikiti kuwa Sunday School? Au mnataka kusema Uislamu ndio CCM?
Umekurupuka kuandika, havieleweki.
Kitu ambacho hakiwezekani...kutumia majini ku dismantle mfumo wa kidunia ni ngumu...Elimu ya kisecula inaitajikana uislamu wa tanzagiza pia ni adui wa maendeleo ya mtu mweusi, kama hamjalijua hilo mpaka leo, nasikitika kusema mnalizunguka tatizo, uislamu wa tanzagiza umekuwa vitani against “mfumo kristo” from day one, lego ni kubomoa “mfumo kristo” …
Nakubaliana nawe moja kwa moja, anglia mikoa inayoendekeza Uislam hapa Tanzania ilivyo gizani, watu kusoma hawataki eti ni haram ila anashinda vjiweni na msikitini kupiga story siku nzima na kuteta wanaume wenzao waendao makazini, ni akili kweli hii?
Kitu ambacho hakiwezekani...kutumia majini ku dismantle mfumo wa kidunia ni ngumu...Elimu ya kisecula inaitajika
Nakubali tupinge kwanza utekaji Kwa pamoja aukubaliki katika nchi ccm must out💯Mimi ni muislam,lakini na support anachokipigania gwajima,yes anaweza akawa na chuki na waislam lakini kwenye hili tum support....waache kwanza kuteka na kuua watu kama kuku then tutarudi kwenye vita na yeye kwa nn ageuze msikiti uwe Sunday school
Tutafurahi sana ikiwa hivo...dini kwetu sio shida...wanatufanyia nini.?hakutakuwa na raisi mkristo tena in next 50 yrs, subiri mtaona …