We unajua sana, big upSisi wakristo tunalia na mitume feki na manabiii feki,ukirudi kwa ndugu zetu waislamu nao wanalia kivyao yaani kwa kifupi hamna aliye sawa.
Hawa bakwata na katoliki ni wasanii fulani
mimi mwenyewe kuna ofisi nilikuwa naenda kesho,vipi hii sherehe ya siku mbili au mojaWamenilostisha kinoma hawa jamaa..
Leo ilikua inatakiwa iwe idd ili kesho watu tupige kazi...
Sasa mimi nina shida na ofisi flani kesho lakini watakuwa wamefunga.
Kwa hili nawalaumu hadi kufa hawa jamaa
Wamenilostisha madeal yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Akija mudi mfia dini tatizo ni mfumo kristo nakuja na video za ilunga.Habari ndugu zangu wanajf
Habari za sikukuu ya eid kwa watanzania wote nawatakia eid njema
Nije kwenye mada kiukweli nikiri adui wa watanzania waislam ni bakwata ambao wameturudisha nyuma
Hebu angalia kimataifa leo ni sikukuu ya eid ila bakwata kwa maamuzi yao wanakaa wanaamua iwe kesho kitaifa
Yaani Tanzania imekua ikiendeshwa na hili genge liitwalo bakwata ambao ndo wanawarudisha nyuma waislam
Angalieni elimu, kwa upande wa ndugu zetu wakristo kielimu wamesonga mbele kwa sababu ya kuwa na taasisi imara za kidini
Bakwata imeanza toka miaka ya 60 lakini mpaka leo hawana lolote la kujivunia iwe shule bora au hata hosptali hii ni aibu kubwa
Jee hili baraza lipo kwa maslah ya nani??chama tawala au?
Maeneo ambayo waislam waliikataa bakwata hapa nchini pana maendeleo mno ya kiuchumi, kiafya na kielimu mfano, waislam wa moshi kilimanjaro mfano kule machame,masama, siha,na kibosho ukiangalia waislam wa kule ni wasomi sana na wana shule nzuri, vituo vya afya vizuri na hata maendeleo ya kiuchumi.
Ni aibu kuona baraza kama bakwata lina zaidi ya miaka 50 linakosa hata shule na bado mpaka leo ni omba omba wa kujengewa misikiti na visima shame on you bakwata
Nyakati zimebadilika waislam watanzania tunapaswa kubadilika na kuacha kuiwaza bakwata vichwani mwetu
Nawatakia sikukuu njema watanzania wenzangu wote bila kubagua dini wala kabila
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri waroma mara milioni kuliko bakwata ona roma walivyo developSisi wakristo tunalia na mitume feki na manabiii feki,ukirudi kwa ndugu zetu waislamu nao wanalia kivyao yaani kwa kifupi hamna aliye sawa.
Hawa bakwata na katoliki ni wasanii fulani
Mimi najua shule kibao tu kiislam kule moshiMtoa mada huijui Moshi. Hao wasomi wamesomea kwenye taasisi za kikristu mfano Asha Rose Migiro ni muislam ila kutokana na jina lake ikambidi aweke Rose kama jina la kikristu ili aweze kusoma.
Waislamu nendeni shule mkajifunze huko moshi kuna shule nyingi za kikristu sijawahi onaga taasisi za kiislam. Kuanzia makanisa, hospitali eg KCMC, shule n.k
Endeleeni hivyo hivyo kugombea hela la msikiti
BAKWATA ni chombo cha kidini anatakiwa aliyosoma dini sana nenda hata kwa wakatoliki papa kabobea kwenye elimu ya dini Na maaskofu Na mapadre.Wewe hiyo elimu yako Dunia mpelekee vyeti hawara yako sio BAKWATATatizo viongozi waliokuwepo pale wazee hawataki wakae wasomi wazee wanataka watu walioijua tu elimu ya akhera bila kujali umuhim wa elimu dunia wanasahau kama tunaishi duniani.
Wasomi wengi waliokuwa wanataka uongozi pale wanafanyiwa fitna wanapigwa chini sasa taasisi inayogusa umma ikijaa watu wengi wasiosoma hata wale waliosoma watakosa nguvu katika maamuzi
Hahaaaaa et katolikSisi wakristo tunalia na mitume feki na manabiii feki,ukirudi kwa ndugu zetu waislamu nao wanalia kivyao yaani kwa kifupi hamna aliye sawa.
Hawa bakwata na katoliki ni wasanii fulani