Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,456
- 1,410
Kumbe cdm ndio waliopitisha miswaada ya kifisadi ya madini bungeni huku wakipiga makofi na vigeregere?Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Kwanza jifunze kuandika sentensi zilizopangiliwa zenye vituo, aya na nukta kabla ya kujaribu kuandika kitu kinachotaka kujenga hoja.Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
CCM imebaki kwa wazee tu na mwisho wao umekaribia kuisha.Anayeshabikia chadema akapimwe akili
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Maadui ni wale walioingia mikataba ya kijinga utafikiri hawakuwahi kuona hata mlango wa shule. Hao ndio maadui na ndio waliotufikisha kwenye hali hii yote ya kunyonywa na wawekezaji. Halafu leo wanajifanya wametubu na kwamba eti wanapinga unyonyaji ambao wao wenyewe ndio waliouidhinisha kwa tamaa za matumbo yao. Kwao kauli mbiu ilikuwa ni "Tumbo mbele taifa baadaye".Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Kumbe cdm ndio waliopitisha miswaada ya kifisadi ya madini bungeni huku wakipiga makofi na vigeregere?
In god we trust
Uliambiwa chadema ni slaa?jibu post kwa hoja cdm ya sasa sio ile ya slaa ambayo ilikuwa inajenga hoja zenye manufaa
KK yatoshaKwanza jifunze kuandika sentensi zilizopangiliwa zenye vituo, aya na nukta kabla ya kujaribu kuandika kitu kinachotaka kujenga hoja.
Maana wengine tunaojali mambo hayo tunaweza kusoma, tukaona umeandika kama mtu ambaye hajaelimika, tukashindwa hata kukupa umuhimu kwa kufikiri kwamba unasumbuliwa na ukosefu wa elimu tu.
Hata kama una hoja nzuri.