Umenena mkuu...wakat wa shida ni kipimo cha mapenz ya dhati..sasa usipomsaidia mpnz wako unataka nan amsaidie?Kama unampenda utamjali na kumsaidia ktk kipindi kigumu kama hicho.Msaidie kwa kadri hali yako inavyoruhusu kama huna unamwambie ukweli kwamba huna,kukwama hua kupo tu kwa mtu yeyote b'se no condition is permanent!!
Lakini sio kutatua shida za ukoo mzimaKama unampenda utamjali na kumsaidia ktk kipindi kigumu kama hicho.Msaidie kwa kadri hali yako inavyoruhusu kama huna unamwambie ukweli kwamba huna,kukwama hua kupo tu kwa mtu yeyote b'se no condition is permanent!!