Adsense Payment Pending No! Email

Adsense Payment Pending No! Email

thegeniustzda

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
211
Reaction score
359
Nawasalimu wote katika jukwaa hili ! Naomba Kujua Shida ni yangu pekee yangu au hata kwa bloggers wengine kwenye AdSense yangu malipo yanasema kuwa yanasubiri (Pending) na email sijapata na suala hili nimeona watu wengi mno wakilalamika kwenye jukwaa la (AdSense Forum) na cjui kwa watanzania kama hili suala lipo na wengi wanasema kwa ajili ya sikuku ya huko marekani inayojulikana kama (Thanksgiving day) tupeane ushauri kwenye hili
 
Back
Top Bottom