Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,620
Sio kwamba design wamepoteza kazi hapan itaweza kuwarahisishia zaidiGraphics designer Kazi GUDUBAI!!!!!
Imekuja kuwarahisishia kazi designer kutumia muda mfupi zaidiDuh. Tujipange yajayo yanafurahisha
Hapan Bali imekuja π kuwasaidia kufanya kazi zao ziwe kwa ubora na ufanisi wa hali ya juuWazee wa "Editing" ajira ndiyo zimeshakufa kama ivo!
[emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa "Editing" ajira ndiyo zimeshakufa kama ivo!
Asante kwa taarifaSasa hivi mambo yamebadilika kabisa! π± Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. π¨πΈπ¬
View attachment 3646739View attachment 3646740
Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake.
πΌοΈ Photoshop β ku-edit na kuboresha picha
π¨ Firefly β kutengeneza na kubadilisha creative content kwa AI
View attachment 3646741View attachment 3646742
π¬ Premiere β kusaidia kuandaa na ku-edit video
π Acrobat β kutengeneza na kuandaa PDFs
π± Adobe Express β social media designs
πΈ Lightroom
βοΈ Illustrator
π° InDesign
ποΈ Adobe Stock.
View attachment 3646743View attachment 3646744
Badala ya kufungua Photoshop, Premiere au Acrobat moja baada ya nyingine, unaweza kumwambia ChatGPT unachotaka kufanya, kisha Adobe tools zinatumika nyuma ya pazia.
Kwa content creators, hii inaweza kuwa game changer kubwa sana! π π¬ Ungependa kujaribu Adobe ndani ya ChatGPT? π
#adobe #chatgptγ§ηζ #openai #photoshop #firefly
Trust me, Ai haiondoi ajira kwa hao watu ila inapunguza tuu, na hao watu wakitumia Ai vzr ndo wanazidi kuwa bora zaidi.Wazee wa "Editing" ajira ndiyo zimeshakufa kama ivo!
Sio imeongezeka ?. Kwamba Sasa kila MTU anaeza kuwa editorWazee wa "Editing" ajira ndiyo zimeshakufa kama ivo!
Sawa sawaNyie endeleeni kujipa.moyo et ajira empty..
Mpaka sasa bdo hakuna online app ya kufanya edit ya video..
Na hapo kwenye adobe hapo wenyewe mnaoma jinsi gani wateja hawataki Ai product hvo ili upokonye kazi yangu mi kama graphic design ninlazima ujue kwanza graphic design ndo uje kutumia application yake kwa chatgpt bila.hvo.mtatuletea mambo ya ajabu
Na kuwasaidia wengine kuwa ma EditorHapan Bali imekuja π kuwasaidia kufanya kazi zao ziwe kwa ubora na ufanisi wa hali ya juu
Yeah teknolojia inazidi kukua