Ambaye ameshapata selection za udsm na udom kwenye account yake tafadhali kama yupo
Tatizo kama langu sikuomba lkn npo multipleJaman magreat thinker,mwanzo nilichaguliwa single nikakomfim,ila sasa nipo multiple na ckuomb tena xaxa nafanyaje celew nipen mawazo tafadhali!