Admission stutus

Admission stutus

Relax

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
29
Reaction score
4
Wadau,,, naomba Muongozo, nimekuwa provisional selected chuo cha Stephano Moshi Memorial University College through NACTE,, lakini profile inasema naweza kuedit mchaguo mpaka tarehe 24, mwenye uelewa tafadhali
 
Ulivyojaribu kuedit imekubali?na kwenye majina ya waliochaguliwa Stefano upo?
 
kwa uelewa wangu hapo ni hivi kwenye profile iyo sehemu inayosema kumodify machaguo kila profile ya mtu yeyeto wa nacte ina ayo maelezo ata kwa wale ambao vyuo vime confirm kuwachukua nao ayo maneno wanayaona kuhusu kuedit mpaka ufungue pale kwenye go to profile ikifunguka kama utakuta neno change categories ndio unaweza edit kama alipo we umeisha chaguliwa ndugu sababu kwenye machaguo kama umechaguliwa kina baki chuo kimoja tu ulichochaguliwa ila kama vyote unaviona lazma neno change categories liwepo maana itakuwa umekosa chuo ila kwa ishu yako subir chuo kiku confirm iyo aya ku modify aiku husu ni kwa wale ambao awajachaguliwa ndio wanaweza ku modify machaguo yao
 
  • Thanks
Reactions: V2d
Back
Top Bottom