vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 868
Mkuu unatutisha sisi wenye mwili wa tembo ubongo wa mendeHongera sana mkuu.
Karibu home of Big brains




Mkuu unatutisha sisi wenye mwili wa tembo ubongo wa mendeHongera sana mkuu.
Karibu home of Big brains




Ni porojo tu mzeeMkuu unatutisha sisi wenye mwili wa tembo ubongo wa mende![]()


Shukrani mkuu nimefanikiwaNatumia simu tu mkuu ... Nilikuwa natumia CHROME ikawa inakataa ila nimetumia OPERAMIN imekubali
UDBS mkuuNi porojo tu mzee
Umepelekwa UDBS au COSS?
Nimefanikiwa mkuu,nilitumia phoenix browser, shukrani sanaUsitumie opera mini.
Tumia chrome. Na hakikisha kule kwenye option umeweka Desktop mode,
Pia unaweza kutumia Phoenix Browser iko poa.
Kwa watumiaji wa Samsung.. ile browser nayo inasupport.
NB. Badala ya Opera mini, tumieni Opera Browser
Duh.. pale kuna watoto waqali kinoma aiseeUDBS

VzrNimefanikiwa mkuu,nilitumia phoenix browser, shukrani sana
Mbona kila mtu anasema ivyo aisee...Duh.. pale kuna watoto waqali kinoma aisee![]()







Pale kuna vitoto vya kihindi, mixa waarabu...Mbona kila mtu anasema ivyo aisee...![]()
Shukrani mkuu nimefanikiwa
MkuuMiaka ya Nyuma UD admission ilikuwa unachukua pale Nkrumah na unasign Sasa Sina uhakika Kama Sikuhizi nawao wanamfumo Kama wa UDOM unashusha tu kwenye ALIS yao