Wakuu, habari za majukumu.
Naomba kujuzwa, UDSM wanatoa lini admission letters na Joining Instructions, maana siku zinazidi kusonga wazazi hatujui ni nini kinahitajika mpaka sasa.
Miaka ya Nyuma UD admission ilikuwa unachukua pale Nkrumah na unasign Sasa Sina uhakika Kama Sikuhizi nawao wanamfumo Kama wa UDOM unashusha tu kwenye ALIS yao
Usitumie opera mini.
Tumia chrome. Na hakikisha kule kwenye option umeweka Desktop mode,
Pia unaweza kutumia Phoenix Browser iko poa.
Kwa watumiaji wa Samsung.. ile browser nayo inasupport.