Admision letter udom for first years 2011/2012 academic year | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Admision letter udom for first years 2011/2012 academic year

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bushman, Sep 29, 2011.

 1. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,302
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Fomu na barua zinapatikana kwenye tovuti ya chuo kikuu cha dodoma unalog in kwa index no.ya form four kama user name,na surname kama password ikiwa kwenye capslock
   
 2. talentboy

  talentboy JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Asante kwa hii taarifa,mkuu naomba unifahamishe lbd kiasi gan cha pesa anachotakiwa kulp mwanafunz ili apate kusajiliwa(kwa waliopata mkopo wa bodi)au na wao ndo km udsm?maana naona hali kl kukicha ktk vyuo vyetu inazdi kuwa tete!
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,525
  Likes Received: 2,446
  Trophy Points: 280
  Peleka ubao wa mtangazo. Udom bwana!!!
   
Loading...