Admin wa Tume Huru ya Taifa Uchaguzi amefanya kwa Makusudi au ndio ukweli? Chapisho lililopo kwenye tovuti lina makosa ya uandishi!

Tume huru ya uchaguzi wametoa chapisho ambalo lina makosa ya kiuandishi jambo ambalo sio la kawaida kwa taasisi..
kwanza kabisa mwanzoni linasomeka hivi....

Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025​

View attachment 3420595

View attachment 3420596

Mara baada ya hapo kuna muendelezo wa chapisho hilo kama ifuatavyo
Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025 ndio itakuwa Siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Madiwani kwa Tanzania Bara ambapo jumla ya wapiga kura 37,655,559 wamejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele kwenye hafla ya uzinduzi wa ratiba ya uchaguzi iliyofanyika kwenye makao makuu ya Tume, Njedengwa jijini Dodoma.

“Tarehe 09 Agosti, 2025 hadi tarehe 27 Agosti, 2025 itakuwa utoaji wa fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais. Tarehe 14 Agosti, 2025 hadi tarehe 27 Agosti, 2025 itakuwa utoaji wa fomu za uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani na tarehe 27 Agosti, 2025 itakuwa siku ya uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais, uteuzi wa wagombea ubunge na uteuzi wa wagombea udiwani,” amesema Mhe. Jaji Mwambegele.

“Tarehe 28 Agosti, 2025 hadi tarehe 28 Oktoba, 2025 kitakuwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kwa Tanzania Bara. Tarehe 28 Agosti, 2025 hadi 27 Oktoba, 2025 kitakuwa kipindi cha kampeni za Uchaguzi kwa Tanzania Zanzibar ili kupisha kura ya mapema na Tarehe 29 Oktoba, 2025 siku ya Jumatano itakuwa ndiyo Siku ya Kupiga Kura”., ameongeza Mhe. Jaji Mwambegele.

Akazingumza kuhusu idadi ya wapiga kura waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi huo, Mhe. Jaji Mwambegele amesema jumla ya wapiga kura 37,655,559 wamejiandikisha na kuongeza kuwa idadi hiyo ni sawa na ongezeko la asilimia 26.55 kutoka idadi ya wapiga kura 29,754,699 waliokuwa kwenye daftari, mwaka 2020.

Ameongeza kuwa kwa upande wa Zanzibar, Wapiga Kura 725,876 wapo katika Daftari la Wapiga Kura la Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na wapiga kura 278,751 wameandikishwa na INEC kwa kuwa hawakuwa na sifa za kuandikishwa na ZEC.

“Katika idadi ya wapiga kura 37,655,559 waliopo katika daftari, wapiga kura 36,650,932 wapo Tanzania Bara na wapiga kura 1,004,627 wapo Tanzania Zanzibar,” amesema Jaji Mwambegele.

Ameongeza kuwa kati ya wapiga kura hao, 18,943,455 ni wanawake sawa na asilimia 50.31 na wapiga kura 18,712,104 ni wanaume sawa na asilimia 49.69 na wapiga kura 49,174 ni watu wenye ulemavu.

Amesema jumla ya vituo 99,911 vitatumika kupigia kura ambapo vituo 97,349 vitatumika kwa ajili ya kupigia kura kwa Tanzania Bara na vituo 2,562 vitatumika kwa ajili ya kupigia kura kwa Tanzania Zanzibar.

“Idadi hii ya vituo 99,911 ni sawa na ongezeko la asilimia 22.49 ya vituo vya kupigia kura 81,567 vilivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020,” amesema.

Jaji Mwambegele ametoa wito kwa wadau wote ikiwa ni pamoja na wananchi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi kwa kuzingatia sheria, kanuni, miongozo na maelekezo yatakayotolewa na Tume.
Yuko sahihi ni TUME YA UCHAFUZI
 
Uchafu-izi au alimaniisha uchafu-inzi...

Hawana mhariri hawa ndugu zetu?

Niliwahi kusoma kitabu cha WIZARD OF THE CROW cha Prof Ngugi...

Kilikuwa na vimaneno kama hivi...

MTUKUTU RAHISI... akimaanisha(MTUKUFU RAIS) Kwamba yule muongeaji mzee alikuwa anakosea ila ukweli alikuwa hakosei...

Sasa inakuwaje ukosee hivi kwenye uandishi wa tovuti ya tume huru?

Nawaza tu.
Mkuu hongera sana kukisoma hicho kitabu Wizard of the crow kwa jinsi nilivyokuwa kinakaribiana kabisa na siasa za EAST AFRICA nimekisoma mara Tatu bila kuchoka .Mwishoni niliumia sana Machokali kupotezwa .
 
Tume huru ya uchaguzi wametoa chapisho ambalo lina makosa ya kiuandishi jambo ambalo sio la kawaida kwa taasisi..
kwanza kabisa mwanzoni linasomeka hivi....

Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025​

View attachment 3420595

View attachment 3420596

Mara baada ya hapo kuna muendelezo wa chapisho hilo kama ifuatavyo
Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025 ndio itakuwa Siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Madiwani kwa Tanzania Bara ambapo jumla ya wapiga kura 37,655,559 wamejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele kwenye hafla ya uzinduzi wa ratiba ya uchaguzi iliyofanyika kwenye makao makuu ya Tume, Njedengwa jijini Dodoma.

“Tarehe 09 Agosti, 2025 hadi tarehe 27 Agosti, 2025 itakuwa utoaji wa fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais. Tarehe 14 Agosti, 2025 hadi tarehe 27 Agosti, 2025 itakuwa utoaji wa fomu za uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani na tarehe 27 Agosti, 2025 itakuwa siku ya uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais, uteuzi wa wagombea ubunge na uteuzi wa wagombea udiwani,” amesema Mhe. Jaji Mwambegele.

“Tarehe 28 Agosti, 2025 hadi tarehe 28 Oktoba, 2025 kitakuwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kwa Tanzania Bara. Tarehe 28 Agosti, 2025 hadi 27 Oktoba, 2025 kitakuwa kipindi cha kampeni za Uchaguzi kwa Tanzania Zanzibar ili kupisha kura ya mapema na Tarehe 29 Oktoba, 2025 siku ya Jumatano itakuwa ndiyo Siku ya Kupiga Kura”., ameongeza Mhe. Jaji Mwambegele.

Akazingumza kuhusu idadi ya wapiga kura waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi huo, Mhe. Jaji Mwambegele amesema jumla ya wapiga kura 37,655,559 wamejiandikisha na kuongeza kuwa idadi hiyo ni sawa na ongezeko la asilimia 26.55 kutoka idadi ya wapiga kura 29,754,699 waliokuwa kwenye daftari, mwaka 2020.

Ameongeza kuwa kwa upande wa Zanzibar, Wapiga Kura 725,876 wapo katika Daftari la Wapiga Kura la Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na wapiga kura 278,751 wameandikishwa na INEC kwa kuwa hawakuwa na sifa za kuandikishwa na ZEC.

“Katika idadi ya wapiga kura 37,655,559 waliopo katika daftari, wapiga kura 36,650,932 wapo Tanzania Bara na wapiga kura 1,004,627 wapo Tanzania Zanzibar,” amesema Jaji Mwambegele.

Ameongeza kuwa kati ya wapiga kura hao, 18,943,455 ni wanawake sawa na asilimia 50.31 na wapiga kura 18,712,104 ni wanaume sawa na asilimia 49.69 na wapiga kura 49,174 ni watu wenye ulemavu.

Amesema jumla ya vituo 99,911 vitatumika kupigia kura ambapo vituo 97,349 vitatumika kwa ajili ya kupigia kura kwa Tanzania Bara na vituo 2,562 vitatumika kwa ajili ya kupigia kura kwa Tanzania Zanzibar.

“Idadi hii ya vituo 99,911 ni sawa na ongezeko la asilimia 22.49 ya vituo vya kupigia kura 81,567 vilivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020,” amesema.

Jaji Mwambegele ametoa wito kwa wadau wote ikiwa ni pamoja na wananchi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi kwa kuzingatia sheria, kanuni, miongozo na maelekezo yatakayotolewa na Tume.
Ndio hali halisi hiyo. Ni tume ya uchafuzi.
 
Hata wao wamechoka mkuu. Zama za ukoloni watumwa wali panda miche ya kazao kwa kugeuza majani chini na mizizi juu. Zile za mbegu walizichemsha kwanza
 
Mkuu hongera sana kukisoma hicho kitabu Wizard of the crow kwa jinsi nilivyokuwa kinakaribiana kabisa na siasa za EAST AFRICA nimekisoma mara Tatu bila kuchoka .Mwishoni niliumia sana Machokali kupotezwa .
Hahahaaa mtu kama Titus Tajirika anakuwa rais... Ila kina uhalisia fulani

🤣🤣🤣🤣

Hongera kukisoma nami nimekirudia kama mara tatu, soma pia DEVIL ON THE CROSS mkuu.
 
Tume huru ya uchaguzi wametoa chapisho ambalo lina makosa ya kiuandishi jambo ambalo sio la kawaida kwa taasisi..
kwanza kabisa mwanzoni linasomeka hivi....

Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025​

View attachment 3420595

View attachment 3420596

Mara baada ya hapo kuna muendelezo wa chapisho hilo kama ifuatavyo
Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025 ndio itakuwa Siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Madiwani kwa Tanzania Bara ambapo jumla ya wapiga kura 37,655,559 wamejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele kwenye hafla ya uzinduzi wa ratiba ya uchaguzi iliyofanyika kwenye makao makuu ya Tume, Njedengwa jijini Dodoma.

“Tarehe 09 Agosti, 2025 hadi tarehe 27 Agosti, 2025 itakuwa utoaji wa fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais. Tarehe 14 Agosti, 2025 hadi tarehe 27 Agosti, 2025 itakuwa utoaji wa fomu za uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani na tarehe 27 Agosti, 2025 itakuwa siku ya uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais, uteuzi wa wagombea ubunge na uteuzi wa wagombea udiwani,” amesema Mhe. Jaji Mwambegele.

“Tarehe 28 Agosti, 2025 hadi tarehe 28 Oktoba, 2025 kitakuwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kwa Tanzania Bara. Tarehe 28 Agosti, 2025 hadi 27 Oktoba, 2025 kitakuwa kipindi cha kampeni za Uchaguzi kwa Tanzania Zanzibar ili kupisha kura ya mapema na Tarehe 29 Oktoba, 2025 siku ya Jumatano itakuwa ndiyo Siku ya Kupiga Kura”., ameongeza Mhe. Jaji Mwambegele.

Akazingumza kuhusu idadi ya wapiga kura waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi huo, Mhe. Jaji Mwambegele amesema jumla ya wapiga kura 37,655,559 wamejiandikisha na kuongeza kuwa idadi hiyo ni sawa na ongezeko la asilimia 26.55 kutoka idadi ya wapiga kura 29,754,699 waliokuwa kwenye daftari, mwaka 2020.

Ameongeza kuwa kwa upande wa Zanzibar, Wapiga Kura 725,876 wapo katika Daftari la Wapiga Kura la Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na wapiga kura 278,751 wameandikishwa na INEC kwa kuwa hawakuwa na sifa za kuandikishwa na ZEC.

“Katika idadi ya wapiga kura 37,655,559 waliopo katika daftari, wapiga kura 36,650,932 wapo Tanzania Bara na wapiga kura 1,004,627 wapo Tanzania Zanzibar,” amesema Jaji Mwambegele.

Ameongeza kuwa kati ya wapiga kura hao, 18,943,455 ni wanawake sawa na asilimia 50.31 na wapiga kura 18,712,104 ni wanaume sawa na asilimia 49.69 na wapiga kura 49,174 ni watu wenye ulemavu.

Amesema jumla ya vituo 99,911 vitatumika kupigia kura ambapo vituo 97,349 vitatumika kwa ajili ya kupigia kura kwa Tanzania Bara na vituo 2,562 vitatumika kwa ajili ya kupigia kura kwa Tanzania Zanzibar.

“Idadi hii ya vituo 99,911 ni sawa na ongezeko la asilimia 22.49 ya vituo vya kupigia kura 81,567 vilivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020,” amesema.

Jaji Mwambegele ametoa wito kwa wadau wote ikiwa ni pamoja na wananchi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi kwa kuzingatia sheria, kanuni, miongozo na maelekezo yatakayotolewa na Tume.
Mungu mkubwa ameandika ukweli, ile ni tume ya uchafuzi
 
Hahahaaa mtu kama Titus Tajirika anakuwa rais... Ila kina uhalisia fulani

🤣🤣🤣🤣

Hongera kukisoma nami nimekirudia kama mara tatu, soma pia DEVIL ON THE CROSS mkuu.
Bariliwa sana ,nitakisoma japo nikienda bookshops huwa sizipati kirahisi ,nitakitafuta online.
 
Wapiga kura 49,174 ni watu wenye ulemavu, wakati najiandikisha sikumbuki kama kilikuwa na kipengele kinachohoji kama mtu ni mlemavu au la.
 
Huelewi nini?

Kwanini unaanzisha jambo usiloweza kuliweka ktk clarity yake na uweze kulitetea kwa mifano halisi...???

Narudia tena, mimi sioni kosa lolote. Wewe umeona makosa, basi yabainishe tuyaone wote...

Kama ishu ni takwimu za wapiga kura walioandikishwa, hilo tumelihoji na linahitaji justification zaidi juu ya usahihi wa takwimu hizo...

Otherwise, wewe bado unatakiwa uoneshe hayo makosa mengine yaliyokufanya uanzishe mjadala huu...!!
Hiyo taarifa ilipotoka mwanzo kwenye tovuti ya tume kulikuwa na typing error, naona wamerekebisha baada ya kuliona kosa, ama baada ya kutaarifiwa juu ya kosa hilo la kiuandishi.
 
Soma kwa makini
Ndiyo mjue wasomi ni wachache TZ. Ikiwa mtu amesoma bandiko lenye makosa alafu hajaona hata kosa moja la kiuandishi, ni hatari sana.

Kwa nini daktari asisahau mkasi tumboni baada ya operation???
 
Hatimaye tume huru ya uchaguzi wamefanya mabadiliko kwenye chapisho
 
Wako sahihi hawajakosea mbona, ile ni tumechuru ya uchafuzi na sio uchaguzi
 
Huelewi nini?

Kwanini unaanzisha jambo usiloweza kuliweka ktk clarity yake na uweze kulitetea kwa mifano halisi...???

Narudia tena, mimi sioni kosa lolote. Wewe umeona makosa, basi yabainishe tuyaone wote...

Kama ishu ni takwimu za wapiga kura walioandikishwa, hilo tumelihoji na linahitaji justification zaidi juu ya usahihi wa takwimu hizo...

Otherwise, wewe bado unatakiwa uoneshe hayo makosa mengine yaliyokufanya uanzishe mjadala huu...!!
Kweli kabisa hata mimi sijaona kosa lolote .

Mtoa post aonyeshe kosa au atoe uzi wake.
 
Back
Top Bottom