Adhabu za wanajeshi

Kwa kuteteana wale jamaa kiboko,lakini ukiwa na mzito wa kukupa backup na ushahidi atapewa adhabu za kijeshi na MP mpaka wewe mwenyewe ukiona unaweza kumhurumia.
 
Hakikisha unajua mifumo ya ufanyaji kazi ya Jeshi, ikiwemo utawala. Huendi tu kibubusa kama yatima. Hapo unainvolve hata Wanasheria. Na unakomalia bango kwelikweli. Msala ukishafika hatua fulani kila afande anauogopa, maana afande hajui mkubwa ajaye utakayempelekea msala wako atawachukuliaje hawa wa chini walioliaibisha jeshi.

Ukiwaogopa hawa jamaa wanaweza kubaka halafu usifanye lolote
 
Sawia, lakini kuna hizi no mbili za nje nje ya Mij karibu na mipaka hahah sio watu kwenye maeneo yao ya kazi hata asimame nani mbele yake mkuu.
 
Unataka kuniambia mnadhimu wa Jeshi la JWTZ amebariki uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi?- Hakuna kitu kama hicho. Ukiamua kukomaa unakomaa nao kwelikweli hadi kuhakikisha hiyo ishu inafika mbali.
Kuja kupata nafas ya kumuona ni mtiti,kama wewe sio kibopa ama huna koneksheni.
 
Unajifanya mjanja kisa upo nyuma ya keyboard
 
Kuna mwanadada alikutwa anadinywa kwenye maeneo yao alafu muuni akakimbia yeye akabaki na chupi kavaa mguu mmoja kwa bahati nzuri alikutana na afande wa kike akamkusanyia mchanga kama kilo moja kisha akamwamuru akitawanye kwa ushuzi, So funny pale chini palibaki kipara
 
Hivi mambo ya kuonea raia bado yapo

Ova
 
Wameshindikana kwa lipi?!
Wakati ukimuamulia hasa kwa kuvunja sheria kwake anakupigia magoti!
Unadhani sio Binadamu hao na hawaogopi kudhtakiwa na kumwagwa kazini?!
Tatizo hatujui sheria na Ni waoga kupindukia.. hicho tu!

Kuna mmoja mtaa alihama ..kataka kupanda watu kichwani kisa jw,!
 
Achana na story za vijiweni, zitakupotezea muda
 
Acha kuwafundisha watu uoga na kukubaliki kunyanyasika wakiwa wananyang'anywa haki zao za msingi. Ukianza huo unyonge utapigwa makofi hata na wadogo zako
 
We jamaa kama ni wewe kweli maeneo ya mirambo nisamehe sana 🤠🤠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…