Adhabu ya viboko ipigwe marufuku mashuleni

Nyie mnasema viboko kumi na mbili,,,we acha nilishindwa kujibu msamiamti darasa la nne nikapigwa fimbo 133 na nilivyofika home nikaongezewa na mother,,,mnalalamika 12 tu aaaagggghhhhh darasa la nne nina miaka 10.2 na mm ndio nilipigwa fimbo chache,,,

Mwalimu wa kihaya ana mimba jina Lugwereka aaaaaaah mungu amrehem huko alipo
 
Mi mtu alikuwa hanichapi zaidi ya vinne
 
Nadeclare interest kabla ya kutoa maudhui ya somo hapo juu kuwa binafsi ni mdau wa Elimu na ni mwezeshaji. Adhabu hii ya viboko licha ya kuwekewa sheria na taratibu bado walimu wa shule hasa za msingi hawazifuati sheria hizo wala taratibu zake. Utakuta mwalimu anamchapa mtoto wa chini ya miaka 13 fimbo zaidi ya 12 tofauti ya kiwango kilichokubaliwa kisheria cha fimbo pungufu ya 4.Nalisema hili kwa ushahidi na situngi.

Nilibahatika kuwa shule ya msingi Kinondoni Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam ambapo nilishuhudia wanafunzi wa darasa la sita na la saba wakicharazwa tena na mwalimu mmoja wa kiume kijana hivi zaidi fimbo nane kwa kosa la kushindwa kupata jibu sahihi la hisabati.

Nimeshuhudia wanafunzi wale wakikandwa viganja vya mikono yao na barafu kwani vilivimba sana. Maskini watoto hawa huogopa kuzungumza mambo ya shuleni kwa wazazi wao kwa sababu ya kutokujaliwa na wazazi wao au kupuuswa. Mamlaka zinazohusika waokoeni watoto hawa kabla hawajapata majanga kama yaliyotokea mkoani Tanga. Wapelelezeni watoto wa shule tajwa msikie madhila wanayoyapata na wengine wanawaza kuacha masomo kuepuka adhabu za viboko vitolewavyo shuleni hapo bila utaratibu.

Chukueni hatua ili kuirekebisha hali hiyo.
Huu! Niunafki wewe kama wewe ulichukua hatuagani baada ya kuona tendo hilo? Umeona hapandiyo sehemu sahihi ya kuleta malalamiko yako? Jua tu wahusika washasema hawafatilii habari za mitandao
 
Viboko ni lazima, acheni porojo za kudekeza watoto. MUNGU anasema mtoto Viboko ni lazima ili akae sawa... We unaleta udekezaji!
 
Nyie mnasema viboko kumi na mbili,,,we acha nilishindwa kujibu msamiamti darasa la nne nikapigwa fimbo 133 na nilivyofika home nikaongezewa na mother,,,mnalalamika 12 tu aaaagggghhhhh darasa la nne nina miaka 10.2 na mm ndio nilipigwa fimbo chache,,,

Mwalimu wa kihaya ana mimba jina Lugwereka aaaaaaah mungu amrehem huko alipo
😀😀😀
Khaaa viboko 133 acha Chai basi
 
Huu! Niunafki wewe kama wewe ulichukua hatuagani baada ya kuona tendo hilo? Umeona hapandiyo sehemu sahihi ya kuleta malalamiko yako? Jua tu wahusika washasema hawafatilii habari za mitandao
Hatua niliyochukua ni hii ya kuwaandikia humu jf ili mtoe wazo mbadala la kuilaani hii hali ya kuwachapa wanetu kama punda.
Kama lengo LA kumpeleka mtoto shule ni kucharazwa bakora basi hakuna maana ya kumpeleka.
 
Back
Top Bottom