Vipi mkuu kwani umefanya kosa gani. Twambie kosa ulilofanya tukueleze adhabu utakayopata. (natania tu :wink2: LOL).
Lakini kiukweli katika mahakama ya mob-justice, viboko, kuchomwa moto, kuuawa, na mikong'oto mingine ya aina yoyote ile hushushiwa vibaka, wezi wa ngono, na wahalifu wengine wanaokamatwa mitaani.