Adhabu ya kusaga meno.

TaiJike

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
1,483
666
[h=6]Padri mmoja alikuwa anahubiri, akasema, [/h][h=6]“Wasiotubu dhambi watalia na kusaga meno siku ya hukumu”. [/h][h=6]Kibogoyo mmoja akacheka, akamnong'oneza mwenzake [/h][h=6]"thithi tumebarikiwa, hii adhabu ya kuthaga meno kwetu haipo”.
Athante Yethuu.!
[/h]
 
Back
Top Bottom