Mbona umekuwa mzembe kiasi hicho,siku zote haupo barabarani.ukipoteza lesseni lazima uripoti polis na baadae uende kwa vehicle waitazame mtandaoni ndo taratibu zinaendelea.ila kama ingekuwa imeisha tu ungeenda kwa vehicle wangeipitisha ukaenda TRA kulipia na pia wangekupiga test ya kuendesha kidogo wajue uwezo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda TRA dawati la leseni, mimi yangu ilibebwa na Traffic sehemu tofauti na mahali nilipo na trsffic police aliichukua ikiwa ina siku mbili tu kabla ya kwisha muda wake. Nilikaa mwaka mzima bila kurenew baadae nilienda kuripoti police kama liseni iliyopotea hata hivyo ofini waliniambia niende TRA dawati la Leseni za magari ndipo Traffic wa pale akaniambia inabidi kupigwa picha upya, finger prints upya na kulipa upya na nilifanya hivyo, tayari naisubiri leseni mpya baada ya kulipia.
Utaishije bila leseni mwaka mzima?
Simple, nilienda ofisi ya traffic police mahali naishi wakaniandikia barua kwamba leseni yangu wanayo wao hivyo popote ninaposafiri naruhusiwa kwenda na nikirudi baada ya safari nitachukua leseni maana ipo kwao kwa sababu niliona gharama ya kufuata leseni kea yule traffic aliyeichukua ni kubwa kuliko kuchukua barua kwa traffic police mahali au mji nilipo.
Hivyo kajieleze kituo cha police watakupa maelezo ila uwe unakumbuka TIN yako au namba yako ya leseni mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari!!
1 Nimepoteza leseni yangu ambayo imeisha muda wake..
2 yapata mwaka sasa tokea imeisha muda wake
3 taratibu zipi za kupata leseni mpya?
4 je kuna adhabu ya kuchelewa kurenew
leseni yangu ilikua na class a,b,d,c1, c2,c3, ntaipataje pia cheti changu kilipotea kwenye ajali[/QUOTEUlikuwa jela?
Ndiyo mkuu, wao ndo watakuelekeza. Pia siyo issue sana. Ukienda kuchukua police report wewe toa namba ya leseni na Tin kama watahitaji ile usieleze kwamba ime expire. Issue ya kuexpire ni ukienda TRAShukrani mkuu hivyo vyote navikumbuka namba ya leseni na tin number vipo..
Kwa maelezo yako inatakiwa nianzie police kwanza kuchukua loss report
Ndiyo mkuu, wao ndo watakuelekeza. Pia siyo issue sana. Ukienda kuchukua police report wewe toa namba ya leseni na Tin kama watahitaji ile usieleze kwamba ime expire. Issue ya kuexpire ni ukienda TRA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mkuu, wao ndo watakuelekeza. Pia siyo issue sana. Ukienda kuchukua police report wewe toa namba ya leseni na Tin kama watahitaji ile usieleze kwamba ime expire. Issue ya kuexpire ni ukienda TRA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda tu chuo wewe mjanja sana, unatembea na vyeti?Habari!!
1 Nimepoteza leseni yangu ambayo imeisha muda wake..
2 yapata mwaka sasa tokea imeisha muda wake
3 taratibu zipi za kupata leseni mpya?
4 je kuna adhabu ya kuchelewa kurenew
leseni yangu ilikua na class a,b,d,c1, c2,c3, ntaipataje pia cheti changu kilipotea kwenye ajali