X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
Kwanini wasi-disclose na wote wame hukumiwa na hakimu huyo huyo mmoja!?nami nasubiri jibu, lakini mleta mada amecopy kutoka mahali, pengine alikocopy hawakudisclose information za mwanaume.
Hawa walio andika hii habari wana malengo yao maalum...! Hii habari ukiisoma juu juu kama wanavyofanya watu wengine unaweza hisi kama kuna uonevu fulani... na ilo ndilo wanalotaka watu walione!