ADHABU KALI: Yagunduliwa Kigamboni

hii mbona ya zamani tu........mimi nikiwa kama 10 year hivi, mtaani kwetu walikmata kibaka wakampa za chembe na wakamvua nguo...tena nakumbuka alikuwa chululu yake bado kutahiriwa. na wakampeleka polisi uchi huku wanampa kichapo.
 
je adhabu hii itatosha kweli kutokomeza wizi ikiwa mwizi atajua nikiiba tu awanipigi wala nn nikunitembea uchi tu si wataona poa tu
 
Back
Top Bottom