adhabu hii mhhh

adhabu hii mhhh

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,943
adhabu kama hii ingetolewa katika shuke zetu watoto wote wabgekimbia kusoma
 

Attachments

  • adhabu.jpg
    adhabu.jpg
    50.3 KB · Views: 177
huyo mwenye piki piki hata hivyo akili zake hazipo sawa sawa, ndio zile za masaburini.
 
Hiyo siyo adhabu ni mazoezi ya viungo mkuu! Ni kama sisi tulivyokuwa tunaambia mkono mbele, juu, chini, kunja n.k wakati ule tuko shule ya msingi Mtakuja!
 
Back
Top Bottom