meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
What if Mwiguru ndio kajiunga na Lowasa? Hawa watu wameungana sababu mawazo yao yanafanana au umesahamu alichofanyiwa mwakyembe?
Mwigulu ndiye kajipendekeza kwa kwa lowasa,mwigulu ni opportunist
What if Mwiguru ndio kajiunga na Lowasa? Hawa watu wameungana sababu mawazo yao yanafanana au umesahamu alichofanyiwa mwakyembe?
Kama ni kweli Mwigulu Nchemba kajichagulia kambi ya Lowassa, sioni sababu ya Nape Nnauye kubaki kwenye uongozi wa CCM...
Ni wazi pia kwamba Kinana amebariki naibu wake kujiunga na Lowassa... Ni kipi kinachomsukuma Kinana ampendelee Lowassa? au ni u-Arusha?
Ikulu ni mahali patakatifu-hatuhitaji mfanyabiashara huko -Always kumbuka Tanzania bila CCM inawezekanaHakuna wa kumzuia lowasa kuwa rais wa tanzania iwe ndan ya ccm au nje me npo radh kutoa mali zangu zote kuhakiksha lowasa anakua rais akna membe na sta maskn watahamishia familia zao ikulu kutapanya mali lowasa mirad yake tu kwa sku anaingza bilion 5..membe milion 5 sta milion 3.5 lowasa anaenda ikulu kutumikia watanzania wengne wote waganga njaa
akitoa komenti kuhusiana na kauli ya mwigulu kwamba rais, lazima awe lowasa na wala siyo membe wala sita. Bw. Rage kajibu mapigo akisema ni mke wa lowassa tu ndiye angetamka maneno kama yale. Hizo ni ndoto za mchana, lowassa hawezi kuwa rais. Alafu mwigulu akome kumtaja membe kila kitaka kupitisha ujumbe wake kwa bosi wake
Huyo bwana ana biashara / miradi gani ya kumuingizia hizo BILIONI 5 kwa siku? Aisee tumepigwa sana!Hakuna wa kumzuia lowasa kuwa rais wa tanzania iwe ndan ya ccm au nje me npo radh kutoa mali zangu zote kuhakiksha lowasa anakua rais akna membe na sta maskn watahamishia familia zao ikulu kutapanya mali lowasa mirad yake tu kwa sku anaingza bilion 5..membe milion 5 sta milion 3.5 lowasa anaenda ikulu kutumikia watanzania wengne wote waganga njaa
Ccm ilisikiliza kilio chako ikaachana na Wafanyabishara ikaja na Dr MagufuliIkulu ni mahali patakatifu-hatuhitaji mfanyabiashara huko -Always kumbuka Tanzania bila CCM inawezekana