Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Mwenyekiti wa klabu ya simba Ndg Rage aliahidi wana msimbazi kuwa watajenga uwanja kwa ajili ya klabu ya simba,akasema kwamba Waturuki bdio watakaojenga uwanja na wakati huo walikua wakifanya upembuzi yakinifu.
Ninchojiuliza je huo upembuzi yakinifu ulishafanyika?kama tayari mnasubiri nini kuanza kujenga uwanja?na kama bado je huoni umetudanganya wana msimbazi?
NB;Ndugu wana jamvi kwa jinsi mambo yanavyoenda katika klabu kuna uwezekano kweli wa uwanja kujengwa?
Pongezi za dhati kwa watani zetu wa jangwani kwa hatua waliyofikia na nina waombea nia yao itimie na isjekuwa porojo kama za Bwana Rage.