Aden Rage:Mpango wa kujenga uwanja umeishia wapi/

Aden Rage:Mpango wa kujenga uwanja umeishia wapi/

pongezi kwa yanga kwani wameshaanza kujenga? Wote ni wale wale
Afadhali Yanga kuna kitu kinaendelea tangu watangaze upembuzi yakinifu wa uwanja mwishoni mwa mwaka jana na wakatoa wakatoa mda wa upembuzi kukamilika hadi mei na kweli tumeona ripoti imetolewa na kwa mujib wa uongozi ujenzi unatarajiwa kuanza julai..ni kweli ujenzi haujaanza lakini haihitaji elimu hata ya stnd 7 kuona kuwa hapo kuna dhamira ya ujenzi kuanza...dhanini hata ukiona ujenzi umeanza bado utasema tu maana ni roho ya wivu ndo inakusumbua mtani ndo anapiga hatua hivyo akikuacha umesimama hapo ulipo
 
Yani kati ya viongoz wa puuz uy ni namba 1..analeta mambo ya ccm mpk uku kwenye soka
 
pongezi kwa yanga kwani wameshaanza kujenga? Wote ni wale wale

atleast hawa wamepiga step na imeonekana,upembuz yakinifu umefanyika na sasa wanachagua uwanja wa aina gani wajenge kati ya vile vitatu walivyoonyeshwa.
 
Hizi hadithi tunazisikia tangu 2005.

ndio tungependa waanze kutenda sasa,itakua ni fedheha kubwa sana pale watani wetu wa jadi watakopokua na dimba lao na kutuacha sisi tunalalamikia makato makubwa pale uwanja wa taifa,lazima tuone mambo yakitendeka na si kuzungumzwa tu mbele ya press..............
 
Wewe hivi huogopi ile BASTOLA sasa endelea kumchimba atakufata ameikoki kabisa si unajua asili yake wapi huyu bwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom