Kutoka Ujambazi hadi sasa hivi walipoamua kuliweka chini ya Green Guard upande mmoja na upande mwingine kama moja ya Jumuiya ndani ya Chama.
RIP.Atakuwa alimsomesha.MDOGO.eti?!Aden Mwamunyange aliywahi kuwa msrmaji wa Jeshi la Polisi ni mkubwa na Davis Mwamunyange aliyekua mkuu wa majeshi ni mdogo.
Hapana, wote walilelewa na kusomeshwa na baba yao ambaye pia aliwahi kuwa ofisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi miaka ya nyuma.RIP.Atakuwa alimsomesha.MDOGO.eti?!
Kuna dada yao naye pia ni askari wa cheo cha juuHapana, wote walilelewa na kusomeshwa na baba yao ambaye pia aliwahi kuwa ofisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi miala ya nyuma.
ALITAKA UUSUMBUE KIDOGO HUO UBONGO WAKO KABLA YA KUONEKANA KAMA UMEJAA MIMAJI YA MADAFU TUSijafikiria, ulitakaje?
Kule kuna adadi rajabu DCI wakati huoHuku Kuna Mahita, kule kuna mmiliki wa mabasi ya Buffalo.
Nchi hi sinema zisizo na ukomo
Aden your where more than a Brother to me and I believe anyone who seeked your help or advice [emoji817] always there! Aden may your Gentle Soul rest in Eternal peaceAliyekuwa msemaji wa jeshi la Polisi ndugu Aden Mwamunyange amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mwamunyange ambaye ni Kaka wa Davis Mwamunyange aliyekuwa CDF.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu
View attachment 1545215
Aliyekuwa msemaji wa jeshi la Polisi ndugu Aden Mwamunyange amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mwamunyange ambaye ni Kaka wa Davis Mwamunyange aliyekuwa CDF.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu
View attachment 1545215
SijaelewaAden Mwamunyange, umenikumbusha enzi za lile Jeshi la Polisi la Kijambazi. Jeshi la Polisi linapitia nyakati ngumu zenye sura nyingi za ajabu.
Kutoka Ujambazi hadi sasa hivi walipoamua kuliweka chini ya Green Guard upande mmoja na upande mwingine kama moja ya Jumuiya ndani ya Chama.
Subutuuuuu...ungemuona ungeogopaMatatizo ya kupumua?
Umenikumbusha mbali Hilo neno jamaniπ€£π€£π€£π€£π€Έπ€Έπ€Έchizi Sana weweπ€£π€£π€£π€£Umenisambukila J
Aden your where more than a Brother to me and I believe anyone who seeked your help or advice [emoji817] always there! Aden may your Gentle Soul rest in Eternal peace
Lile jambazi sijui liliishia wapi!Kuna mwingine alikuwa RPC kigoma au Tabora anaitwa Chaka
Atazikwa na nyome ya watu maana mdogo wake Gen DAM ni mtu wa watu na anakubalika sana.Atazikwa na watu 10 tu!
Mwananchi voice
Wanafanana! Ila saazingine mnakuwaga na mauchokozi ya dhahiri kabisa yaani.Nilitoa macho nikajua ni yule na macho yake ya kurembua,
Okay let him rest easy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Abee! Padon