OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Watakuambia huo ni moto wa mabua, huku nyumba inateketea yote.
Huyo Msomali analeta ndoto za mchana, huwezi kulinganganisha masuala ya kisiasa ya Kenya na Tanzania.
Ukweli ni kwamba Uhuru hawezi kumuunga mkono Magufuli kwa kufanya hivyo atahatarisha nafasi yake 2017. Kwa sababu Magufuli ni rafiki mkubwa wa Raila....
Then Uhuru, Museven na Kagame kwa ujumla wao hawampendi Jakaya wanasema ni mswahili na haelewi kitu. Hivyo nguvu saizi iko kubwa kuingoa CCM na serikali chakavu madarakani
Siyo wananchi wote wanaichukia ila wengi wameichoka.Kwa nini usilinganishe wakati politics of science ni ile ile.... Kila nchi lazima ipite kwenye certain stage of changes..... CCM haiwezi kurudi madarakani. Wananchi wanaichukia, nchi za jirani zinaichukia na nchi za Magharibi zinaichukia kwa kuzidi kuwanyonya wananchi wa hali ya chini
Ningependa kujua jinsi walivyosema hiyo sentensi niliyoikoleza kwa wekundu ukichukuilia kwamba hawakuyatamka hayo maneno kwa Kiswahili, embu rudia jinsi walivyosema kwa Kiingereza!
Huyo Msomali analeta ndoto za mchana, huwezi kulinganganisha masuala ya kisiasa ya Kenya na Tanzania.
Huyo Msomali analeta ndoto za mchana, huwezi kulinganganisha masuala ya kisiasa ya Kenya na Tanzania.
Cyber act Mkuu...... Nimepunguza ukali kidogo manake kingereza hakina tafsida.....
Kwa sababu watanzania uwezo wao wakufikiri mdogo mtairudisha cm madarakani! Tutazidi Kua wamwisho kila siku kuishi kwa mazoea! Ukiichagua ccm jua tu akili haikutoshi!
Mtatengeneza uongo mpaka mkae mwaka huu lakini hamtapata mnachotaka.
Wakuu salama!... Kwanza naomba niwasalimu wote baada ya kutoka ban...
Katika kile kinachoonekana mafuriko ya Ukawa/Lowassa kutingisha Nchi, hali imekuwa hivyo hivyo kwa nchi za majirani na dunia nzima.
Mafuriko haya ambayo viongozi wa CCM wanayaita ni "genge la vibaka" ndio kwa sasa yameizika rasmi Chama hicho chakavu, hasa kwa mafuriko ya Mwanza, Mbeya na Arusha...
Hali hiyo imepelekea nchi ya Kenya kuweka wazi msimamo wake na kuona anguko la CCM kama KANU ilivyooanguka mwanzoni mwa miaka ya 2000 (2002)...
Msemaji na msimamizi mkuu wa shughuli za serikali Bungeni Ndg. Aden Duale kasema wazi kuwa anguko la CCM limewadia na Ukawa kuibuka mshindi katika uchaguzi wa mwezi oktoba.... (Aden Duale ni majority leader bungeni)...
NB: Tafsiri hii ni pana sana hasa ukizingatia mgombea wa CCM alimuunga nani 2013 katika uchaguzi wa Kenya. Na pili urafiki wa Uhuru na viongozi wengine wa nchi majirani unazidi kutoa tafsiri pana zaidi ambayo ni dalili mbaya kwa CCM na serikali yake kuchokwa sio tu nchini hata na nchi za jirani......... Mwaka huu CCM hawana pakuchomokea....