Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 684
Mzee si umalizie tu kwamba tatizo ni Rais Kikwete.Mkuu kumbuka hata hapa hayo mambo yapo,chama cha kidini CUF,chama cha wachagaCHADEMA na sasa chama cha kaskazini! Ha ha ha ila kwa bahati nzuri kwa faida ya taifa propoganda hizo zimeshindwa na wananchi wamejua tatizo lilipo.