Aden Duale: CCM Itadondoka kama KANU

Aden Duale: CCM Itadondoka kama KANU

UKo sahihi.Siasa za kenya za kikabila.KANU kilikuwa chama cha makabila yote.Lakini hakikupiga vita ukabila kwa nguvu.Siasa zikaanza kulalia ukabila zaidi.Baadaye makabila makubwa yakaanza kuunda vyama vyao.
Wajaluo na jamii za makabila ya kijaluo wakaanzisha ODM.Wajaluo wote na makabila jamii za kijaluo wakatimuka KANU wakaenda ODM.

Wakikuyu na wakakalenjini wakaanzisha muungano wa Jubilee.Makabila ya wakikuyu na wakalenjini wengi wakatimukia chama cha Jubilee.KANU kimebaki na makabila madogo madogo.

Kulinganisha mambo ya Kenya na Tanzania si sawa.KANU ni KANU na CCM ni CCM.Ukabilaha ha ndio ulisambaratisha KANU

Mkuu kumbuka hata hapa hayo mambo yapo,chama cha kidini CUF,chama cha wachagaCHADEMA na sasa chama cha kaskazini! Ha ha ha ila kwa bahati nzuri kwa faida ya taifa propoganda hizo zimeshindwa na wananchi wamejua tatizo lilipo.
 
Ukweli ni kwamba Uhuru hawezi kumuunga mkono Magufuli kwa kufanya hivyo atahatarisha nafasi yake 2017. Kwa sababu Magufuli ni rafiki mkubwa wa Raila....

Then Uhuru, Museven na Kagame kwa ujumla wao hawampendi Jakaya wanasema ni mswahili na haelewi kitu. Hivyo nguvu saizi iko kubwa kuingoa CCM na serikali chakavu madarakani

Kwa hiyo uamuzi wako umeshikiliwa na hao "role models" wako??!!
 
Mkuu kumbuka hata hapa hayo mambo yapo,chama cha kidini CUF,chama cha wachagaCHADEMA na sasa chama cha kaskazini! Ha ha ha ila kwa bahati nzuri kwa faida ya taifa propoganda hizo zimeshindwa na wananchi wamejua tatizo lilipo.

We ni mpumba.vu hapa nchini namba 1...... Ukishaanza kuleta hoja za kidini na kikabila hufai zaidi ya kupuuzwa tu... .
 
Mtatengeneza uongo mpaka mkae mwaka huu lakini hamtapata mnachotaka.

Simiyu yetu mbona unajiaminisha ushindi kiasi hiki? Huoni nyomi ya El inavyowapelekesha puta? Au ccm mnategemea ushindi wa wizi wa kura na mbinu zingine za kale zilizopitwa na wakati?
 
We ni mpumba.vu hapa nchini namba 1...... Ukishaanza kuleta hoja za kidini na kikabila hufai zaidi ya kupuuzwa tu... .

Huwezi kujadili hoja bila matusi?au wewe ni mdogo wake dc?au ndugu na vuvuzela?ha ha ha
 
KANU haijafa, walichofanya wakenya ni kubalisha jina na kuweka watu wale wale wa KANU Ikulu...!
 
UKo sahihi.Siasa za kenya za kikabila.KANU kilikuwa chama cha makabila yote.Lakini hakikupiga vita ukabila kwa nguvu.Siasa zikaanza kulalia ukabila zaidi.Baadaye makabila makubwa yakaanza kuunda vyama vyao.
Wajaluo na jamii za makabila ya kijaluo wakaanzisha ODM.Wajaluo wote na makabila jamii za kijaluo wakatimuka KANU wakaenda ODM.

Wakikuyu na wakakalenjini wakaanzisha muungano wa Jubilee.Makabila ya wakikuyu na wakalenjini wengi wakatimukia chama cha Jubilee.KANU kimebaki na makabila madogo madogo.

Kulinganisha mambo ya Kenya na Tanzania si sawa.KANU ni KANU na CCM ni CCM.Ukabila ndio ulisambaratisha KANU

Usitudanganye
 
Jamani naomba kuuliza hivi moto wa mabua hauchomi nyumba?..Moto wa mabua hauwezi kusababisha madhara ya kulipua tanki la Petrol? Moto wa mabua hauchomi msitu wenye mchwa wenye kuhatarisha mustakabari wa mimea na majengo?
 
Ningependa kujua jinsi walivyosema hiyo sentensi niliyoikoleza kwa wekundu ukichukuilia kwamba hawakuyatamka hayo maneno kwa Kiswahili, embu rudia jinsi walivyosema kwa Kiingereza!
Kwa kizungu ndugu Barbarosa? ni He's Pompous and preposterous!
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini uipe uzito kauli ya Mkenya badala ya Mtanzania? Kauli za namna hiyo ingekuwa kutamka ndiyo hali halisi CCM ingalikwisha anguka siku nyingi. Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo. Ingalikuwa kila analolitaka mwanadamu huwa leo hii CCM ingekuwa imeachia madaraka tangu 1995 kwa NCCR Mageuzi, mwaka 2000 ingechukuwa CUF na 2010 ingechukuwa CHADEMA, lakini kwa bahati mbaya maneno siyo hali halisi na ndiyo maana tunangoja matokeo ya kura za 25 Oktoba 2015.
Tunapozungumzia mikusanyiko ya watu Mbeya, Mwanza na Arusha tunasahau kuwa kuna idadi kubwa tu ya watu amabao hawajafika kwenye mkutano ule. Vile vile siyo wato waliofika kwenye mkutano ule ni Pro CHADEMA. Wengine ni Pro CCM wengine ACT na wengine hata hawana chama na hawajaamua wapigie kura chama gani. Kuangalia tu mkusanyiko na kujipa matumaini ya kushinda ni sawa na kujenga nyumba kwenye jiwe la barafu ambalo jua likiwaka huyeyuka.
 
There is no way tutawaruhusu CCM wapenye. Tutabana kill kona main tunaona was anguko limefika na kupanic ni dalili kuu ya anguko. Unaonaje mafuliko, kisha unasema hayana nguvu ya kuangusha nyumba badala ya kujiandaa na kutafuta makazi ya muda. Ni unguani tu. Hata pale jangwani huambiwa wahame kuna mafuliko, wao hukataa haji yaje ndipo huanza kutafuta misaada. Nawafananisha sawia kabisa na CCM. Eti Kenya ni tofauti na Tanzania nani kakwambia wakati wote ni wa Africa tena wa East Africa ambao hata makabila tunasigishana na kushare kote!

Subiri sasa usije sema ya,ekuja ghafra hukijiandaa. Ndio maana mnaambiwa jiandaeni kipsychologia. Na hakika nawaambia msijidanganye wizi kama ndio mnategemea, mtaona cha mtema kuni zaidi na kufutika kabisa katika siasa za dunia hii.
 
JK ni mzigo EAC...eti rafiki zake ni Burundi na DR C. Hebu fikiria ni lini kipofu akamuongoz kipofu?

Back
Top Bottom