OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Wakuu salama!... Kwanza naomba niwasalimu wote baada ya kutoka ban...
Katika kile kinachoonekana mafuriko ya Ukawa/Lowassa kutingisha Nchi, hali imekuwa hivyo hivyo kwa nchi za majirani na dunia nzima.
Mafuriko haya ambayo viongozi wa CCM wanayaita ni "genge la vibaka" ndio kwa sasa yameizika rasmi Chama hicho chakavu, hasa kwa mafuriko ya Mwanza, Mbeya na Arusha...
Hali hiyo imepelekea nchi ya Kenya kuweka wazi msimamo wake na kuona anguko la CCM kama KANU ilivyooanguka mwanzoni mwa miaka ya 2000 (2002)...
Msemaji na msimamizi mkuu wa shughuli za serikali Bungeni Ndg. Aden Duale kasema wazi kuwa anguko la CCM limewadia na Ukawa kuibuka mshindi katika uchaguzi wa mwezi oktoba.... (Aden Duale ni majority leader bungeni)...
NB: Tafsiri hii ni pana sana hasa ukizingatia mgombea wa CCM alimuunga nani 2013 katika uchaguzi wa Kenya. Na pili urafiki wa Uhuru na viongozi wengine wa nchi majirani unazidi kutoa tafsiri pana zaidi ambayo ni dalili mbaya kwa CCM na serikali yake kuchokwa sio tu nchini hata na nchi za jirani......... Mwaka huu CCM hawana pakuchomokea....