Address / Phone Number | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Address / Phone Number

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by hermangoma, Jun 7, 2011.

 1. h

  hermangoma Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba msaada wa kupata Phone Numbers za Ofisi za USPS (United States Postal Service) - Dar-es-salaa. Kuna Parcel yangu wanayo, nataka waitume huku Interior!
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  google utaipata

  mh watakutumia kweli?
  jipange njoo mjin ubebe chako
   
 3. h

  hermangoma Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesha-search Google bila mafanikio kudadadeki....! nataka namba zao tu. Kuna mdau kaniambia wapo opposite na Bilcanas, I'm out of Dar, terrible! Sijui nitafanyaje.
   
 4. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  United States Postal Services kumbe wana tawi Dar?.
   
 5. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  sidhani kama wanatawi dar ila partner wao wa b'ness tz ni shirika la posta. Unachoweza kufanya ni ku-track hiyo parcel yako iko wapi, jamaa wana-update kila wakati hata delivery confirmation wanatuma kwa njia ya email. Ingia kwenye website ya USPS au posta tanzania then nenda kwenye track utaweka codes ambazo zipo kwenye risiti uliyopewa wakati wakutuma. Inategemea destination ya parcel yako pia. Sijui kama scenario yako inasolvika kihivi!
   
Loading...