Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
- Thread starter
-
- #61
Ana rafiki yake mmoja siku hizi namwona pale PK Pub Tegeta.
Uzuri wa baamedi hawana wivu.Nyiye watamu unajua!
Yapu - Yule alikuwa Madrid then Sugar Bay karibia na Nyamachabes!
baba if somebody (especially a mere bar maid) knows 'everything' about u wewe huoni kama hiyo ni probleme??? not only about you, but also about everybody.....!!!" ooh any way kila mtu na mtazamo wake, but to me its no safe for my 'everything' to be known by someone like bar maid ambaye leo yuko huku na kesho yuko kule, at least angekuwa ni mtu ambae mna mahusiano ya angalau kudumu kama ndoa hivi, undugu wa damu etc!
kazi tunayo kwa kweli, tena nzito haswaa, naomba kujua matumizi ya hizo nos.
Hizo namba ni kwa ajili ya kufanya "order" - ya nyama choma, makange, na bia za bariiiiiiiidi - kuna sehemu uwezi kupata bia aina zote kwahiyo unapiga simu mapema ili ku-confirm availability!
Uzuri wa baamedi hawana wivu.
Unamkamata leo unamega........... kesho unamgawia rafiki yako..........Anamega.......... Nawe ukimkuta na jamaa yake, anakuunganishia kwa rafiki yake......unamega.....Mkikutana tena mnamegana............Maisha yanasonga mbele!
Akikuona na wife wako anauchuna kama hakujui!

huwa najiuliza kuwa haya maadili wameyatoa wapi? lol......
Ni uvumilivu wa kiwango cha juu kabisa.................

Mpitie na Fia Tanga (Fyatanga) huku Tegeta...kuna supu nzuri kweli na nyama choma!!lol
huwa najiuliza kuwa haya maadili wameyatoa wapi? lol......
Ni uvumilivu wa kiwango cha juu kabisa.................
Uzuri wa baamedi hawana wivu.
Unamkamata leo unamega........... kesho unamgawia rafiki yako..........Anamega.......... Nawe ukimkuta na jamaa yake, anakuunganishia kwa rafiki yake......unamega.....Mkikutana tena mnamegana............Maisha yanasonga mbele!
Akikuona na wife wako anauchuna kama hakujui!
Hawa mabinti wana kitu ndani ya mioyo yao ambacho kinaweza kuwa cha manufaa sana katika mahusiano - Tatizo ni kuweza kufahamu nini walichonacho!

Mkuu kuna yule Enjo(sio Angel) alikuwa pale DECA INN Boko....akaja profesa mmoja akamzoa akamwachisha kazi na mimba juu....hajakaa vizuri akatinga dalali wa viwanja akamnunulia ka-Rav 4...yule prof kawa kama chizi manake alihama home kwa mazahausi akahamia kwa Enjo sasa hivi chumba yuko peke yake