maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,502
- 6,415
mkuu tupo wengi....they are easy goers na hawana gharama..teh teh teh fidel anawajua hawaBar Maids ni muhimu sana katika maisha ya wanaume walio wengi! Na honestly wanaume walio wengi wanafahamiana na Bar Maids wengi kuliko wanawake walio kwenye "proffessions" nyingine..
Kwenye phone book yangu kuna namba za Bar Maids zipatazo 40..
I'm just wondering if this is "Addiction" or what?
Khaa!...... Yule alihamia Family Bar Tegeta........... Hivi kasharudi tena pale?Duh....na yule Janet mzanaki?
waswahili wa pemba....na vilemba vyao! vipi teamo! Long time!
Khaa!...... Yule alihamia Family Bar Tegeta........... Hivi kasharudi tena pale?
Khaa!...... Yule alihamia Family Bar Tegeta........... Hivi kasharudi tena pale?
Basi usichuke ya Vivian wa Fairway...nshamuwahi.... HoMe Boys ya Wazo?.........Hapo kuna Fatuma nshachukua namba zake japokuwa najua ntashea na Michael wa Wazo Cement.......Jamaa kampangishia room kabisa.
Mimi ninayo ya akaunta yule shotie!
Vipi mbona FUTURE RESORT - opp na kwa Komba hauonekani siku hizi? Mishi na Jack walikuwa wanakuulizia jana!
tatizo kuna Sylvia pale Africana Pub..........(.Hivi hata wahudumu wa jikoni nao si ni mabaamedi?).........Alikuwa ananisumbua sana... Lakini tushamalizana.Mimi ninayo ya akaunta yule shotie!
Vipi mbona FUTURE RESORT - opp na kwa Komba hauonekani siku hizi? Mishi na Jack walikuwa wanakuulizia jana!
mwe kwanini mnatusema ..............:A S 114:
pole sana mkuu...They are all over!
Ana rafiki yake mmoja siku hizi namwona pale PK Pub Tegeta.Yupo....nasikia kwa kurudi reverse ni kiboko...na uzanaki wake
baba if somebody (especially a mere bar maid) knows 'everything' about u wewe huoni kama hiyo ni probleme??? not only about you, but also about everybody.....!!!" ooh any way kila mtu na mtazamo wake, but to me its no safe for my 'everything' to be known by someone like bar maid ambaye leo yuko huku na kesho yuko kule, at least angekuwa ni mtu ambae mna mahusiano ya angalau kudumu kama ndoa hivi, undugu wa damu etc!Hatari ipo wapi? Kuwa na namba ya msichana ni hatari kumbe? I did not know!!!
BTW: Hakuna watu wanaofahamiana na watu kwa undani kama "Bar Maids"! These "ladies" knows everything about everybody - trust me!
Akaunta yupi?....Eliza?
pole sana mkuu...
Mimi ninayo ya akaunta yule shotie!
Vipi mbona FUTURE RESORT - opp na kwa Komba hauonekani siku hizi? Mishi na Jack walikuwa wanakuulizia jana!
............aisee:A S 114:Khaa!...... Yule alihamia Family Bar Tegeta........... Hivi kasharudi tena pale?