ADC yavunja Ngome ya CUF Zanzibar, Wanachama zaidi wajitoa

ADC kule Arumeru watamsimisha mgombea?

ADC hakiwezi kusimamisha mgombea kwa sababu bado hakijapata usajili, kuna process ya kufuata ambapo soon kitapewa Usajili wa muda halafu wanahitajika kuzunguka mikoani na msajili kuhakiki wanachama atleast 250 kila mkoa, baada ya msajili kujiridhisha ndio atoe Usajili wa kudumu then wataruhusiwa kusimamisha wagombea.
 
..asili ya CUF ni chama cha HIZBU.

..lengo lau ni kurudisha Zanzibar ya kabla ya Mapinduzi.

..wanaojiengua CUF sasa hivi ni wa-Tanganyika ambao kimsingi hawana thamani yeyote ile ktk chama hicho.

..watapatikana wa-Tanganyika wengine wenye njaa kuiunga mkono CUF na kuipa uhalali wa kisheria mpaka pale watakapotimiza malengo yao ya kuvunja muungano na kufuta mapinduzi ya Zanzibar.

..mkisikia Wapemba wanarudisha kadi za CUF then we will have something to talk about.
 
Mkuu,huyu Mpemba Mbishi ni mbaguzi sana! kama unafuatilia post zake zote hapa jamvini huyu jamaa anachuki
na wabara usipime....ndiyo maana mimi huwa nazidi kumuumiza kwa kumjibu kuwa Zanzibar ni koloni letu full stop
 
R.I.P CUF wadini na wapemba tulikupenda sana lakini kifo kimekupenda zaidi.
CUF haijauliwa na CCM bali imejimaliza yenyewe. Hatujasahau 1995 wakati sisi tuliokua zanzibar tunatangaziwa na vijana wa pemba na mji mkongwe kwamba makaburi ya wakristo yanachimbwa. haya Juzi Jusa katuhakikishia kuwa ni kweli. uongozi wote umejaa ukabila(upemba) na udini (uislam). gazeti lenu pendwa AL-NUUR kila likishabikia upuuzi wa siasa wa kidini. sasa Rest In Peace. Hakuna wa kuumaliza ukristo maana umedumu kwa miaka 2000! UPITAPO KWENYE MOTO HAUTATEKETEA, WALA UPITAPO KWENYE GHARIKA HAUTAZAMA SIMAMA HIVI LEO UKAUONE MKONO WA MUNGU! CUF ULIYOIONA SASA HAUTAIONA MILELE!
 
Mkuu,huyu Mpemba Mbishi ni mbaguzi sana! kama unafuatilia post zake zote hapa jamvini huyu jamaa anachuki
na wabara usipime....ndiyo maana mimi huwa nazidi kumuumiza kwa kumjibu kuwa Zanzibar ni koloni letu full stop

Wewe kama umejenga dhani ya kwamba mimi ninawachukia Wabara wacha iyo hivyo, na wala hakuna kosa kwani sisi tumeunganishwa tu; tena bila ridhaa zetu kumbuka hatukua na uhusiano WOWOTE hapo mwanzo.
 

Mods tafadhali hii thread usiiondoshe na sisi tunataka kujibu comments sababu naona mada imehamia kwenye UDINI sasa! Imekua ni kawaida threads inapogeuzwa na kutolewa comments za kidini hawa mamods hua wanaisambaratisha fasta, kinachokera zaidi hua wanaiondoa baada ya comments nyingi zinazoushambulia Uislamu kutolewa na pia wengine hufikia hata kuukashifu uislamu kwa ujumla badala ya kutoa hoja kulingana na mada ambayo imewekwa. Kitu cha kusikitisha sana ni kwamba mada huondolewa baada ya kuonekana waislamu wanataka kujibu mapigo kulingana na michango ya hao ambao wamekashifu na kukebehi. Ni kama kwamba hawa mamods wapo hapa kwa ajili ya kuwakingia kifua watu fulani! Au na huu mtandao unaongozwa na 'Mfumokristo'!!!
 
Dhambi ya ubaguzi ni sera rasmi ya CUF sera hii imeanza kuwatafuna wenyewe hakuna wa kumlilia.Hongera Jussa nilikuwa sijui CUF ni kwaajili ya wazanzibar na waIslam.
Nukuu ya marehenu Baba wa Taifa la Tanzania juu ya dhambi ya ubaguzi inatimia neno kwa neno. Na kwa mtazamo huu kama hawatageuka nyuma na kuangalia walipojikwaa kwa lengo la kunyoosha mapito yao itabakia historia!
 
Kha! sasa hiki ni kitu gani
 

In the same line of thinking..

Chadema asili yake christian movement, lengo kuu ni wakristo kuhodhi madaraka

Mkisikia waliosoma seminari wanarudisha kadi za cdm then will have sometihn to..

tutafika tu..
 

Haleluya..oops
mawazo mgando, mgogoro kwenye chama cha siasa ni kawaida

asiyefahamu hilo ni dikteta..ngoja waende kuongoza ADC wataona umuhimu wa nidhamu kwenye chama
 
 
 
Fatal5@ hongera kwa kugoogle, Zanzibar ni serikali ya paa moja, hakuna Umoja Wa Kitaifa pale. Google tena ujue cuf imeshika sehemu gani ktk huo muunganiko. Nakuibia ni wana CUF 7tu ndio wako kwny hilo paa.
 
Fatal5
Sifa kubwa ya coalition government inapotokea kutoelewana na kuvunjwa kwa serikali na kuitishwa uchaguzi mpya; swali je CUF ikijitoa kwenye huo mseto kuitafanya serikali ivunjwe na kuitishwa uchaguzi mpya? usichanganye mchanganyiko wa mahindi na maharage ukauita mseto huo unaitwa PURE ama MAKANDE; mseto ni MCHELE na CHOROKO.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 

Nimekusoma chama, hawa ndio wale wanasifia nyumba kwa nje kisa ina rangi nzuri kumbe ndani choo cha shimo. Information ziko kwny internet lakini unahitaji kuzisoma ndio ujue yaliyomo.
Coalition goverment haijadiliwi na watu wawili wa one side na a group of people ya the other, coz end of a day watalaliwa tu, no matter how strong they are.....watu watacheki weakness zao then watapenya, and that what happened there
 
In the same line of thinking..

Chadema asili yake christian movement, lengo kuu ni wakristo kuhodhi madaraka

Mkisikia waliosoma seminari wanarudisha kadi za cdm then will have sometihn to..

tutafika tu..

Adui yenu namba moja ni Ismail Jussa aliyeropoka bila aibu kwamba sababu ya CUF kushindwa Uzini ni Ukristo na Ubara
 
Adui yenu namba moja ni Ismail Jussa aliyeropoka bila aibu kwamba sababu ya CUF kushindwa Uzini ni Ukristo na Ubara

Kwa kauli za Jusa ameonyesha ubaguzi na uadui wake wa muungano, Nachelea kusema hata kwny uchaguzi Uzini ubaguzi wake wakiitikadi na kiimani ndio uliopelekea CUF kugalagazwa kwa kiwango kile pamoja na kuwa wamepoteza mvuto wao wakisiasa. Just imagine Jusa huyu anayezungumza Ukristo na Ubara halafu at the sametime awe against Mohd Raza (mshindi-Uzini) ambaye ni kiongozi wake wa kiimani katika jumuiya yao ile ya washia.
Kwa Ubaguzi alouonyesha binafsi sihitaji mtu kunieleza Kwamba ali'base upande upi hapo....kwa yule mama yao walomsimamisha ama huyu Bosi wake Raza.
 
Acha kuwa mpemba mbishi,utakuwa mpemba mbichi!: mtoto hapimwi kwa wemba,ukitaka jua mtoto kakua mwachie mkeo usipokuta mimba jua huyo mtoto kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…