ADC wamjia juu Lissu

Kwa nini awaambie wazungu? Mbona tulizoea kutumia NGUVU YA UMMA? mliipotezea wapi?
 
Kwamba chadema mmeshindwa kupambana na ccm na selikali yake?

......

kuheshimu Demokrsasia + kuheshimu haki za binadamu = Misaada kutoka kwa wahisani.


kama mnataka hisani za wazungu mwambieni Nduli huu mchezo hauhutaji jazba.
 
Nyakati kama hizi ndiyo mapandikizi yanachipua, wamshukuru Lissu, ingalao wamesikika.
 
HIKI NA CHAMA AU SACCOS,MBONA HAKISIKIKI KAM WTU ANVIONGOZI WAKE WAKO HAI ANAGALAU HATA KAMA HASHEEM RUNGWE CHAUMA??????
 
HIKI NA CHAMA AU SACCOS,MBONA HAKISIKIKI KAM WTU ANVIONGOZI WAKE WAKO HAI ANAGALAU HATA KAMA HASHEEM RUNGWE CHAUMA??????
Ndg. Hebu jaribu kutulia uandike kitu kinachoeleweka, inawezekana unajambo la msingi unataka kutushirikisha.
 
Kwa nini awaambie wazungu? Mbona tulizoea kutumia NGUVU YA UMMA? mliipotezea wapi?

usiishi kwa mazoeya,

leo tunaongea na waznungu wainyime hii nchi hisani ili Nduli aheshimu demokrasia na haki za binadamu.

Kuheshimu demokrasia + kuheshimu haki za binadamu = Misaada kutoka kwa wahisani.
 
jina ADC linataka kufanana na ACT so lazima watakuwa na tabia za kufanana yan watakuwa wachumia tumbo kama ACT.......na inawezekana na wao ni tawi la chama cha makinikia
 
Hivi kuna chama cha siasa kinaitwa ADC?
Na kabla ya Lissu hayo matatizo ya ndani wamepambanaje?
walikuwa wapi kabla ya Lissu kuzungumza?
Kuzungumza siyo sawa na kuropoka.
 
Hao ADC tangu lini wakapambana na matatizo ya ndani? Kiongozi wao si ni yule kibaraka wa CCM aliyezawadiwa uwaziri kule Zanzibar? Hawa wanafikiri watz wote ni wajinga? Naona wamepewa bakshishi wameanza kujitokeza kwenye media kupambana na Chadema!
 
Tatizo ni mtoa hoja au hoja yake?
CHADEMA ni muhimu ikajitenga na UHAYAWANI wa Lissu.
Huyo "hayawani" ndio msaada wako na familia yako-ila inabidi uwe na fikra pana kidogo kuelewa!
 
ADC wanamtumia The Great Lissu kupata umaarufu,nadhani hata msajili wa vyama vya siasa hawatambui.
 
jamani hamkumbuki alisema nchi yetu ni tajiri haitegemei misaada, sasa wanachomjia juu lissu nini, wanataka tuwe omba omba mpaka lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…