Nimeshtuka kidogo baada ya kuona chama kipya cha ADC kupata usajiri wa muda huku bendera yake ikionekana kufanana kwa rangi kama zinazotumiwa na CDM, Hivi hii haiwezi kuwa ni mbinu ya wana magamba kuwachanganya wananchi? Na hivi kabla ya msajiri hajatoa huo usajiri, hakuna sheria inayombana ili kuhakiki logo na alama zitakazo tumiwa na chama husika?....