bongo ubabaishaji mwingi aisee ukija utaanza kurumbana na viongozi waroho tu hapa ni bora ajikalie huko ale bata reeefu......in fact hajaanzia mpira hapa bongo
Adam Nditi katoa condition za yeye kuitwa kwenye timu ya Tanzania na zina msingi wake mkubwa sana na mantiki.. Pia lazima tukumbuke mchezaji huyu ana mkataba na klabu ya Chelsea,lakini TFF inataka kufanya mambo localy tu as if mchezaji yule yuko Prisons..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.