Yuko wapi mchezaji wa kitanzania ADAM NDITI aliyekipiga Chelsea? Je alipotezwa na Shaffih Dauda?

squirtinator

JF-Expert Member
Sep 20, 2015
2,765
4,179
Hivi Adam Nditi yuko wapi siku hizi? Huyu jamaa kuna kipindi alivuma kama MTANZANIA ANAYECHEZEA CHELSEA B. Na tuliambiwa anaenda pandishwa timu A. Kuna tetesi alikuwa karibu sana na Shaffih Dauda kama mshauri wake, Je ni kweli alikataa kuchezea Stars akifuata ushauri wa Shaffih Dauda ili kuitwa England na kupata uraia?
Wenzake kina Berahino wa Burundi walishtuka huo mtego wakaukwepa mteho wa lusubiri kuitwa England ya wakubwa maana amgejivurugia kuwa ahujaa wa mchi yake orijino. Leo hii Berahino ni shujaa wa Burundi baada ya kuisaidia nchi yake ya burumdi kuingia AFCON.
Leo nae angekuwa shujaa huku kwetu ila naona masikio yalizidi ububwa kichwa ndio maana akapotea. Hata nikimgoogle, google haijui vizuri yuko wapi.

20190326_184317.png


20190326_184348.png


20190326_184643.png
 
Back
Top Bottom