Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Taarifa zilipatikana kutoka Clouds FM katika mazungumzo kati ya Maestro na Loveness ni kuwa Mchezaji wa timu ya Vijana ya Chelsea "the Blues" Adam Nditi amekubali kuchezea timu ya Taifa ya Tanzania.
Hebu tujiulize, Tanzania tunatikwa tufanyeje ili kulinda hadhi na kuvutia wachezaji wengine kama Nditi wenye uraia wa nchi zingine?
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/447533-mchezaji-wa-chelsea-aponda-show-ya-diamond.html