Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
- Thread starter
- #21
Wana-fit sana kufanya kazi na East African Television/Radio one,
waje huku tuendelee kupata flavour,
sijui kama wataweza maana walivyokuwa na majungu ya kuponda media nyingine laiv laiv sijui....ila pesa pesa tuu