Adam Malima ni 'mbumbumbu?'

mbona hushangai slaa aliyekana kuwepo kwa kipengele cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama ambacho yeye ndo mtendaji mkuu?

 
mbona hushangai slaa aliyekana kuwepo kwa kipengele cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama ambacho yeye ndo mtendaji mkuu?

sio lazima unijibu,majibu haya mmepelekee mama ako.
 
Adam tatizo lake anataka kuwa kama marehem baba yake...kweli ni kuwa hata robo hamfikii Kighoma.

Mtoto wa marehem Kighoma aliyerithi ule ubongo nI yulr alitekuwa Marekani.

Kitu kingine kinachoniudhi na huyu adam yeye kila wakati anaongea Ki Spanish...na mijisim yake 6 sasa kwa nini asinunue sim 2 za tripo line

Mwisho zaidi mimi siwezi kum sapoti adam kwa sababu anaipenda sana Arsenal clabu ambayo.ni ya ma failures.

Adam njoo manyuuu
 

Khaa! Makubwa sasa
 
mbona hushangai slaa aliyekana kuwepo kwa kipengele cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama ambacho yeye ndo mtendaji mkuu?

Ha ha ha ha ha mkuu hadi jamaa kaPanic aisee...
 


huyu muulizeni masuala ya silaha za ak 47,kusahau silaha mahotelini , machangudoa .....kuchukua mademu wa udom...cbe ,st john etc ...kwenda south africa kwa majina ya kufoji, kustua majani ......pete za majini...na unafiki wa kujifanya mtu wa swala ..
Msimuonee mtoto wa watu kutegemea makubwa kutoka kwake ....hamumtendei haki ..
 

We ndo failure na namba 7 yako,kombe la uhai lina timu chache safari hii kwann man u msiombe kushiriki angalau mpate mechi nyingi kidogo
Mtuache na Arsenal yetu miaka 900
 

akili ya huyo jamaa ni sawa naya aliyemteua
 
hii ni wizara nyet sna lkn ni ya wapuuz watupu kuanzia sada had huyu chemba kusanya na adam tena serikal hii kama kijiwe anayeweza kupaza saut juu ya wengine ndo hua mkulu wa kijiwe
 
- Hoja yake ya msingi ni kwamba Sheria ifumuliwe upya haifai, sasa kosa lake ni nini hasa?

Le Mutuz System

Kosa lake ni kwamba wizara yake ndiyo inatakiwa ilete amendment or repeal ya sheria ya manunuzi. Hapa alitakiwa atoe taarifa ya hatua ambazo wizara yake imefikia ktk kuirekebisha na siyo kusema sheria inatakiwa kurekebishwa.
 
relax man,mbona una-panic namna hiyo kusikia mzee wa gongo katajwa.

mi sipo JF kupet mtu,nipo kwa utashi wangu,jitu badala ya kujibu hoja linarukia mambo mengine mbali kabisa,kwa hiyo kama Dr.Slaa akikosea ndo kosa lake liwe justification ya wengine.nakusoma unajichekesha chekesha humu,ndicho ulichoijia
 

Vijana wa dotcom wangekuwa wanajitambua kama wewe tungefanya mabadiliko makubwa sana ya kiuongozi no hapo ndo wangetutambua mbwa koko hawa!
 
Kosa lake ni kwamba wizara yake ndiyo inatakiwa ilete amendment or repeal ya sheria ya manunuzi. Hapa alitakiwa atoe taarifa ya hatua ambazo wizara yake imefikia ktk kuirekebisha na siyo kusema sheria inatakiwa kurekebishwa.

- Ok Sheria inasumbua kwenye kuisimamia ndio maana anataka Bunge lilrekebishe Sheria maana ndilo peke yake lenye maamuzi ya kurekebisha Sheria, sio Waziri Mdogo huenda huu umbumbu siku hizi umebadilika maana cause so far sijaona kosa lake la kumuanzishia lithread lizito namna hii nilidhani kuna hoja hapa kumbe ni zile zile ngonjera za kawaida za UKAWA!!

Le Mutuz System
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…