Adam Malima live radio uhuru sasa hivi!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Wana JF,mh Adam Malima yuko live radio uhuru sasa hivi,hoja anayozungumzia ni madini na ametoa fulsa ya kumuuliza swali.No ya kupiga studio ni:0756 778 066.
 
Siwezi kupoteza muda wangu kusikiliza redio magamba over my dead body. Mzinzi Malima hana jipya la kumsikiliza labda aende Joly club kwenye mambo yake ya makahaba.
 
Hana issue kwani wamepewa wizara hakuna walichofanya wana jf kwanini kupoteza mda kuuliza vitu walivyoshindwa kufanya?
 
Back
Top Bottom