Nikweli Mh..Rais amesema elimu bure.
lakini je! wewe mwananchi mwenzangu ambaye mtoto wako anasoma pale kantalamba sekondari unajua umuhimu wa mchango wako ktk shule hizi za kata.kama hujui nkujuze na kama umesahau nkukumbushe kidogo ,iko hivi shule hizi hazina waalimu wa sayansi wa kutosha kwa kuptia mchango wako waalimu wanaajiriwa..walinzii,wapishi,umeme,maji,CHAKULA cha mchana nk yote haya yanahitaji michango toka kwa wazaziii. bila jazba tujiulize sisi wenye watoto shuleni je?ndani ya mwezi mmoja huu wa DEC kila kitu kitakua tayari ili kuziba hilo pengo la michango ya wazazi?....... Ninacho kiona mm nkwamba hawa watoto hawata pata chakula mchana,walinzi hawatokuwepo, na wapishiiii..masomo ya sayansi hawatofundishwa kwani waalimu hawaandaliwi kwa mwezi mmoja,maji na umeme vtakatwaa.Elimu bure inawezekana lakini kwa mwezi mmoja huu bila mikakati thabiti haliwezekanii..mzazi mwenzangu tujipange jinsi ya kuwawezesha watoto katika kipindi hiki cha mpito kwani watakua nyumbani saa 2:30 mchana januari kwani shule hakuna chakula na twisheni anza kutafuta kwani waalimu wa masomo ya sayansi wanajiandaa kuondoka kwani wanaona malipo yatasumbua....nimaoni yangu tuuu.naomba kusilishaaa.