Activation key za youwave 2.3.4

Activation key za youwave 2.3.4

Chris41

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
625
Reaction score
409
Mambo vp wadau? naomba mwenye keys za kuactivate youwave anisaidie maana nimtumia trial siku zimeisha....
 
na kuna windroy hii inajaribu kurun android 4 ndani ya windows natively bila ya emulation. kwa hiyo haitokuwa nzito na yenye kula resources nyingi (ram/processor) kama bluestacks . pia hii ni freeware
 
Tafuta bluestack zinakuwa pre-activated

bluestacks nlikua nayo b4,, baada ya kuchange window now inakataa n tatzo ni graphic drivers but kina nkidownload hzo drivers zinagoma...
 
na kuna windroy hii inajaribu kurun android 4 ndani ya windows natively bila ya emulation. kwa hiyo haitokuwa nzito na yenye kula resources nyingi (ram/processor) kama bluestacks . pia hii ni freeware

ngoja nijaribu hii
 
Back
Top Bottom