ACT-Wazalendo yafafanua kuhusu uteuzi wa RC Kilimanjaro, Bi. Anna Mghwira

Njaa mbaya sana..nmeamin njaa haina mtoto wa mkubwa....anna nlikuwa nakuona kama mama yangu ambaye hawezi niacha mwanae nikafa na njaa jangwani lakin kwasasa umeonyesha wazi wew ni mchawi wa maendeleo yangu.
Kumbe tuko wengi tuliokuwa na imani naye. Najiuliza ni njaa gani waliyo nayo? Mbona wako kwenye nafasi nzuri sana kuliko watanzania walio wengi? Sijaona sababu zaidi ya ubinafsi na umimi mpaka anakana anachoamini na kuaminisha wengine wengi kwamba ndio ukweli.
 
Hah haaa.... UNAFIKI wa wanafiki
kwani ccm wameisha?
ongezeni na hili ukuu wa mkoa ni n nafasi ya utumishi wa uma mbona wanajeshi waliteiliwa, wakati huo huo lkija suala la kisiasa mnasema hii ni nafasi ya kisiasa kama ambavyo suala la vyeti feki haliwahusu kina bashite... Watz tunadanganyika tu msijali

kwani huyo omary ni nani ktk chama apaka akawa na kimbelembele cha kuongea kabla ya kiongozi mkuu zitto z kabwe?
 
Binadamu kazi kweli kweli,yani mkuu wa nchi kwa manufaa ya taifa akaona amchague huyu mama ambae kwakwel yupo vzr kikazi leo tena tunaanza maneno,jaman kwann hayawaingii akilin kama kuna mabadiliko makubwa ya kiutendaji hapo ?ilikuwa ni kitu cha ajabu sana kwa vipindi vya nyuma mpinzani akawa na nafasi ktk serikali lkn leo hii ni ishara kubwa ya serikal kutaka kuleta maendeleo ua kweli.
 
kitendo cha huyu mama kujivua uwanachama wa chama chake kisa kateuliwa ukuu wa mkoa kinazua maswali mengi kuliko majibu. kwa nini ajivue uwanachama ilhali ukuu wa mkoa ni nafasi ya kisiasa?
 
Binadamu kazi kweli kweli,yani mkuu wa nchi kwa manufaa ya taifa akaona amchague huyu mama ambae kwakwel yupo vzr kikazi leo tena tunaanza maneno,jaman kwann hayawaingii akilin kama kuna mabadiliko makubwa ya kiutendaji hapo ?ilikuwa ni kitu cha ajabu sana kwa vipindi vya nyuma mpinzani akawa na nafasi ktk serikali lkn leo hii ni ishara kubwa ya serikal kutaka kuleta maendeleo ua kweli.
mkuu upinzani wake uko wapi? ilihali amashajivua uwanachama wa chama chake? tusidanganyane hapo.
 
Njaa mbaya sana..nmeamin njaa haina mtoto wa mkubwa....anna nlikuwa nakuona kama mama yangu ambaye hawezi niacha mwanae nikafa na njaa jangwani lakin kwasasa umeonyesha wazi wew ni mchawi wa maendeleo yangu.

Kijana kuwa tu mkweli

Hebu kaa kwenye viatu vya mama Anna....je wewe ungekataa ulaji huo....!!?

Labda tu nikunong'oneze kama ulikuwa hujui ni kuwa siasa nchini Tanzania ni ajira rasmi.....na kelele za hao unaowaona ni wazalendo ni kama kelele za makinda ya ndege wenye njaa ambapo wakiletewa chakula wanakaa kimya.....

Ninachokuhusia ni kuwa

PAMBANA NA HALI YAKO...ONDOA MATUMAINI YAKO KWA WANASIASA.......
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Kumbe kaimu igp naye kapigwa chini, naona masalia ya mkwere yanazidi kupukutishwa.
 
Njaa mbaya sana..nmeamin njaa haina mtoto wa mkubwa....anna nlikuwa nakuona kama mama yangu ambaye hawezi niacha mwanae nikafa na njaa jangwani lakin kwasasa umeonyesha wazi wew ni mchawi wa maendeleo yangu.
Yaani kwako wewe maendeleo ni kukaa nje na kupinga? Ni ajabu sana
 
Back
Top Bottom