ACT-Wazalendo yafafanua kuhusu uteuzi wa RC Kilimanjaro, Bi. Anna Mghwira

Na huyu mama kuonyesha ni CCM tangu Magufuli aingie madarakani pamoja na madudu yote ndani ya huu mwaka na nusu hajawahi kumkosoa. Kama aliwahi kumkosoa mwenye ushahidi auweke hapa. Upinzani uchwara hawa si watu wa kuwaamini hata chembe.

Siyo vibaya Magufuli akiangalia angalia benchi lake la akiba (ACT) na kufanya sub! Bado Zitto yupo benchi ila ndo kwanza hata half-time bado.
 
Njaa mbaya sana..nmeamin njaa haina mtoto wa mkubwa....anna nlikuwa nakuona kama mama yangu ambaye hawezi niacha mwanae nikafa na njaa jangwani lakin kwasasa umeonyesha wazi wew ni mchawi wa maendeleo yangu.
Ubazazi
 
Rais alisema hatachagua wapinzani na mpaka sasa ktk Tanzania ya viwanda sijaona akichagua mpinzani siku akichagua tutasema au amechagua??
Nani mpinzania amemchagua sijaona wala kusikia wizarani wala mkoani naona wote ni walewale chama Tawala
Fikiria upya
 
Chama gani upuuzi, chama kinapata kura 98,763= 0.65% ya kura zote za urais! Unakaa unasema nina chama! Sema Zito amepata pa kujishikza kwenye siasa za Tanzania, lazima watu wake wakipata kuteuliwa waitikie! Ajaribu kwa Lisu!
Akili bange.... Fikiria upya
 
*MASWALI TATA YANAYO ULIZWA JUU YA UTEUZI WA ANNA MGHWIRA NAFASI YA RC NA MAJIBU YAKE*

Lazima Awe Mjumbe Wa Chama Tawala Yaani CCM Ngazi Ya Mkoa Je? Atabaki ACT Au Itakuwaje?

Jibu
Hapana katiba ya CCM imeweka wazi kuwa atakuwa mjumbe kama ni mwanachama wa Ccm, pia hata spika atakuwa mjumbe kama ni mwanachama wa ccm, hivyo hata kuwa mjumbe wa kamati kuu sababu sio mwanachama wa Ccm lkn ataendelea nafasi yake ya ukuu wa mkoa.

Lazima Asimamie Ilani Ya Chama Tawala CCM Ngazi Ya Mkoa, Je? Atasimamia Ilani Yake (ACT) Au Ya CCM?

Jibu.
Ilani ya vyama vyote huwa Ni kwa maslahi ya wananchi, ilani ya vyama vyote ukisoma zimeelekeza nguvu kuletea wananchi maendeleo, hivyo sio kosa kutekeleza yale ambayo yanalenga kuleta maendeleo kwa wananchi.hata kama akifanya kwa kufuata ilani ya CCM .pia hata shikishwa bendera ya Ccm wala ilani ya chama cha mapinduzi.

Je? Bado Atasimama Kidete Kumkosoa Bosi Wake (JPM)?

Jibu
Dah bahati mbaya hata pata nafasi kumkosoa waziwazi sababu atakuwa na nafasi ya kumwambia moja kwa moja sabababu wakuu wa mikoa wana nafasi kubwa ya kuwasiliana na Mh. Raisi.

Je? Atajiuzulu Uenyekiti Wa ACT Taifa?

Jibu.
Hapana hata jiuzulu sababu nafasi aliyopata ni yakisiasa, inamruhusu awe mwenyekiti wa chama bado, ila kuna nafasi ambazo angetakiwa ajiuzulu kama ukatibu sio nafasi ya kisiasa, ila professionalism.

Baada Ya Kitila Mkumbo (GS), Anna (RC) Nani Atafuata Kupewa Ulaji Na JPM Kutoka ACT?

Jibu.
Hakuna ajuaye sababu maamuzi ni ya Mh Raisi.

Ni Kweli Zitto Zuberi Kabwe Ni Pandikizi La CCM Na Ndiye Mrithi Wa Profesa Muhongo Nishati Na Madini?
[HASHTAG]#Mwenye[/HASHTAG] Jibu.

Zitto sio pandikizi, zitto ni kiongozi wa ACT WAZALENDO. ukiwa pandikizi maana yake Ni puppet (kibaraka)sifa kuu ya kibaraka Ni kutii yote unayoambiwa na aliyekupandikiza, lakini Zitto amekuwa akiikosoa na kuishauri serekali kwa maslahi ya watanzania amekuwa "active opposition leader zaidi hata ya wapinzani wengine, ukitaja wapinzani imara Tundu Lisu, msigwa, mnyika,, mbowe huwezi acha mtaja Zitto.

Zitto ndiye aliyepinga kwa nguvu mswada wa habari, na alifukuzwa bungeni na hakushiri vikao vya bajeti alitaka kuichambua akiwa nje, alitaka kamatwa, Zitto ndiye aliyepinga kukamatwa kwa Lisu bila kufuata sheria, zitto ndiye aliyepinga mbowe kutaja kushiriki madawa ya kulevya, Zitto ndiye alisemea watanzania kuhusu njaa bila uwogo, bila kupepesa macho hakuna kibaraka Au pandikizi la Ccm wa namna hii.

Kuhusu Zitto kushika nafasi ya mhongo, Waziri WA nishati na madini, hakuna ukweli, sababu hayo Ni maamuzi ya Raisi.

Jambo linalotuumiza watanzania ni political culture yetu na wala sio katiba yetu ya nchi , kuwa mtu akiteuliwa ukuu wa mkoa, katibu mkuu, basi ni Ccm hapana, mfano Raila odinga kiongozi mpinzani chama cha ODM leo kenya aliwahi teuliwa kuwa Waziri wakati akiwa mpinzani, lakini hadi leo Ni mpinzani mkubwa, na anagombea uraisi kwa ushawishi mkubwa.

ACT WAZALENDO, ni chama pinzani imara ingawa ndio Chama kinapitia mitihani ya kutazamwa kwa mtazamo tofauti sababu ya uteuzi, uteuzi sio dhambi na utakuwa Ni unafiki siku zote unapiga kelele siku unapewa nafasi ukafanye alafu ukatae ili ubaki kupiga kelele, hawa hawa wanaokukosoa, watakukosoa utakapoendelea piga kelele kuwa kwanini hukwenda kufanya ulipo teuliwa,

Hivyo jambo la msingi, na la maana Ni kwenda kuwatumikia watanzania, kuliko kukataa.

Mfano. Leo msigwa anateuliwa kuwa Waziri wa mambo ya nje atakataa ?, kwanini akatae wakati anaenda fanya yale ambayo anayapigia kelele, hivyo akatae ili aendelee kuwa mkosoaji na sio mtekelezaji na mfanyaji ??

Chama cha ACT WAZALENDO, kipo imara kwa maslahi ya wananchi wote.

Imetolewa na

Abdul Omary Nondo
Nani asiyejua hiki chama kinatumika kila ifikapo uchaguzi kupunguza nguvu ya UKAWA?wadanganyika wa leo siyo wale wa zama,hizo,,,
 
Taarifa Kwa vyombo vya habari

Mimi Anna mgwira nimejivua uwanachama wangu ACT-Wazalendo ili nikaweze kuwatumikia wana Kilimanjaro

Kwakua nimejivua uwanachama mwenyewe moja Kwa moja nyadhifa zangu zote zitakuwa hazipo

Namshukuru sana mh zitto Zuheri kabwe na wanachama wote ACT-Wazalendo kwakuniamini na kunipa nafasi ya kuwaongoza

Hivyo kuanzia Leo tarehe 4/6/2017 Mimi sio mwanachama tena wa ACT-Wazalendo

Kazi yangu sasa ni kuwatumikia wananchi kupitia nafasi yangu ya sasa ya Ukuu wa Mkoa Kilimanjaro

Hii ni heshma kubwa kwangu na Kwa familia yangu Kwa ujumla

Mungu awabariki

Anna mgwira

Leo 4/6/2017: saa7:30 mchana
 
Njaa mbaya sana..nmeamin njaa haina mtoto wa mkubwa....anna nlikuwa nakuona kama mama yangu ambaye hawezi niacha mwanae nikafa na njaa jangwani lakin kwasasa umeonyesha wazi wew ni mchawi wa maendeleo yangu.
Mkuu huwezi kumuona tena hapa JF, mnafiki haswa.
 
Ni kweli mkuu?
 
Akili bange.... Fikiria upya
Sina akili bange, ningeliweza nami kukutukana , let me put facts!
upload_2017-6-4_15-32-5.jpeg
 
Jambo linalotuumiza watanzania ni political culture yetu na wala sio katiba yetu ya nchi

Kumbe zile kelele za zitto za katiba mpya ni kiini macho?!?! Loh

Hakika Zitto ni kibaraka very smart but you can fool people for some time but you cant fool people all the time.
 
Taarifa Kwa vyombo vya habari

Mimi Anna mgwira nimejivua uwanachama wangu ACT-Wazalendo ili nikaweze kuwatumikia wana Kilimanjaro

Kwakua nimejivua uwanachama mwenyewe moja Kwa moja nyadhifa zangu zote zitakuwa hazipo

Namshukuru sana mh zitto Zuheri kabwe na wanachama wote ACT-Wazalendo kwakuniamini na kunipa nafasi ya kuwaongoza

Hivyo kuanzia Leo tarehe 4/6/2017 Mimi sio mwanachama tena wa ACT-Wazalendo

Kazi yangu sasa ni kuwatumikia wananchi kupitia nafasi yangu ya sasa ya Ukuu wa Mkoa Kilimanjaro

Hii ni heshma kubwa kwangu na Kwa familia yangu Kwa ujumla

Mungu awabariki

Anna mgwira

Leo 4/6/2017: saa7:30 mchana
 
Njaa mbaya sana..nmeamin njaa haina mtoto wa mkubwa....anna nlikuwa nakuona kama mama yangu ambaye hawezi niacha mwanae nikafa na njaa jangwani lakin kwasasa umeonyesha wazi wew ni mchawi wa maendeleo yangu.
Acha ufinyu wa akili yani unataka apige kelele tu wakati nafasi ya kufanya anacho amini amepewa.Huo ndo wakati wa kuonyesha kuwa wapinzani wanaweza kuongoza vizuri bila hata ccm
 
Kabudi alipiga kelele kuhusu katiba mbovu weee akabwatabwata mpaka akawa bwatax weee sasa Magufuli akampa palepale anapobwatabwata leo ukimuuliza kuhusu hiyo katiba mbovu na ipi ni nzuri uipendekeze anakwambia kuwa Magufuli anapita mulemule kwenye katiba aliyokuwa akiipigania hivyo hakuna haja tena ya kuipigania.

Humphrey Polepole naye akapiga yowe kususu vyeo vya wakuu wa mikoa na wilaya wee akabwatabwata weeeee Magufuli akampa hichohicho cheo cha ukuu wa wilaya na akaufyata kwelikweli! Yan akaukunja mkia ukakunjika haswaaa.

Huyu mama Anna alipiga kelele kuhusu mwenge wa Uhuru weee akasema hauna maana kwa watanzania Mungu siyo Athumani kesho kutwa ataupokea atauheshimu atauimbia "kuwasha mwengeee.... kuwasha mwengeee na kuuweeekaaaa Kilimanjaroooo.... umulikeee hata wanafiki.. uleteee tumainiii.... " kisha atawakabidhi ma-dc wake waukimbize Kilimanjaro nzima na atatoa neno la kuupongeza vilevile.
Aisee nimecheka sana mkuu!
 
*MASWALI TATA YANAYO ULIZWA JUU YA UTEUZI WA ANNA MGHWIRA NAFASI YA RC NA MAJIBU YAKE*

Lazima Awe Mjumbe Wa Chama Tawala Yaani CCM Ngazi Ya Mkoa Je? Atabaki ACT Au Itakuwaje?

Jibu
Hapana katiba ya CCM imeweka wazi kuwa atakuwa mjumbe kama ni mwanachama wa Ccm, pia hata spika atakuwa mjumbe kama ni mwanachama wa ccm, hivyo hata kuwa mjumbe wa kamati kuu sababu sio mwanachama wa Ccm lkn ataendelea nafasi yake ya ukuu wa mkoa.

Lazima Asimamie Ilani Ya Chama Tawala CCM Ngazi Ya Mkoa, Je? Atasimamia Ilani Yake (ACT) Au Ya CCM?

Jibu.
Ilani ya vyama vyote huwa Ni kwa maslahi ya wananchi, ilani ya vyama vyote ukisoma zimeelekeza nguvu kuletea wananchi maendeleo, hivyo sio kosa kutekeleza yale ambayo yanalenga kuleta maendeleo kwa wananchi.hata kama akifanya kwa kufuata ilani ya CCM .pia hata shikishwa bendera ya Ccm wala ilani ya chama cha mapinduzi.

Je? Bado Atasimama Kidete Kumkosoa Bosi Wake (JPM)?

Jibu
Dah bahati mbaya hata pata nafasi kumkosoa waziwazi sababu atakuwa na nafasi ya kumwambia moja kwa moja sabababu wakuu wa mikoa wana nafasi kubwa ya kuwasiliana na Mh. Raisi.

Je? Atajiuzulu Uenyekiti Wa ACT Taifa?

Jibu.
Hapana hata jiuzulu sababu nafasi aliyopata ni yakisiasa, inamruhusu awe mwenyekiti wa chama bado, ila kuna nafasi ambazo angetakiwa ajiuzulu kama ukatibu sio nafasi ya kisiasa, ila professionalism.

Baada Ya Kitila Mkumbo (GS), Anna (RC) Nani Atafuata Kupewa Ulaji Na JPM Kutoka ACT?

Jibu.
Hakuna ajuaye sababu maamuzi ni ya Mh Raisi.

Ni Kweli Zitto Zuberi Kabwe Ni Pandikizi La CCM Na Ndiye Mrithi Wa Profesa Muhongo Nishati Na Madini?
[HASHTAG]#Mwenye[/HASHTAG] Jibu.

Zitto sio pandikizi, zitto ni kiongozi wa ACT WAZALENDO. ukiwa pandikizi maana yake Ni puppet (kibaraka)sifa kuu ya kibaraka Ni kutii yote unayoambiwa na aliyekupandikiza, lakini Zitto amekuwa akiikosoa na kuishauri serekali kwa maslahi ya watanzania amekuwa "active opposition leader zaidi hata ya wapinzani wengine, ukitaja wapinzani imara Tundu Lisu, msigwa, mnyika,, mbowe huwezi acha mtaja Zitto.

Zitto ndiye aliyepinga kwa nguvu mswada wa habari, na alifukuzwa bungeni na hakushiri vikao vya bajeti alitaka kuichambua akiwa nje, alitaka kamatwa, Zitto ndiye aliyepinga kukamatwa kwa Lisu bila kufuata sheria, zitto ndiye aliyepinga mbowe kutaja kushiriki madawa ya kulevya, Zitto ndiye alisemea watanzania kuhusu njaa bila uwogo, bila kupepesa macho hakuna kibaraka Au pandikizi la Ccm wa namna hii.

Kuhusu Zitto kushika nafasi ya mhongo, Waziri WA nishati na madini, hakuna ukweli, sababu hayo Ni maamuzi ya Raisi.

Jambo linalotuumiza watanzania ni political culture yetu na wala sio katiba yetu ya nchi , kuwa mtu akiteuliwa ukuu wa mkoa, katibu mkuu, basi ni Ccm hapana, mfano Raila odinga kiongozi mpinzani chama cha ODM leo kenya aliwahi teuliwa kuwa Waziri wakati akiwa mpinzani, lakini hadi leo Ni mpinzani mkubwa, na anagombea uraisi kwa ushawishi mkubwa.

ACT WAZALENDO, ni chama pinzani imara ingawa ndio Chama kinapitia mitihani ya kutazamwa kwa mtazamo tofauti sababu ya uteuzi, uteuzi sio dhambi na utakuwa Ni unafiki siku zote unapiga kelele siku unapewa nafasi ukafanye alafu ukatae ili ubaki kupiga kelele, hawa hawa wanaokukosoa, watakukosoa utakapoendelea piga kelele kuwa kwanini hukwenda kufanya ulipo teuliwa,

Hivyo jambo la msingi, na la maana Ni kwenda kuwatumikia watanzania, kuliko kukataa.

Mfano. Leo msigwa anateuliwa kuwa Waziri wa mambo ya nje atakataa ?, kwanini akatae wakati anaenda fanya yale ambayo anayapigia kelele, hivyo akatae ili aendelee kuwa mkosoaji na sio mtekelezaji na mfanyaji ??

Chama cha ACT WAZALENDO, kipo imara kwa maslahi ya wananchi wote.

Imetolewa na

Abdul Omary Nondo
Sawa ila umetumia muda wetu vibaya maana umeandika matope
 
Jamani suala la maendele ni la kila mmoja wetu tunapaswa kulitambuwa hayo mengine maporojo ya kisiasa tuachane nayo tusubir 2020 tumtakie mama yetu kazi njema
 
Njaa mbaya sana..nmeamin njaa haina mtoto wa mkubwa....anna nlikuwa nakuona kama mama yangu ambaye hawezi niacha mwanae nikafa na njaa jangwani lakin kwasasa umeonyesha wazi wew ni mchawi wa maendeleo yangu.

Wazee mna matatizo makubwa sana.
 
mama ameshajivua uwanachama wa ACT wazalendo muda mfupi uliopita.mtazamo wangu kafanya kosa kubwa.
 
Back
Top Bottom