ACT-Wazalendo wazomewa Shinyanga

nawaonea huruma watanzania. mimi hata akiingia nani sitaathiriwa na chochote kwenye maisha yangu.pole kama hujui hilo.

Wacha kutudanganya wewe Abunuas,kila siku unashinda humu jamvini kwa kuifia ccm leo baada ya kuona mambo yameharibika ndio unajidai huna chama?pole sana ila ujue hiyo ndiyo siasa
 
Wacha kutudanganya wewe Abunuas,kila siku unashinda humu jamvini kwa kuifia ccm leo baada ya kuona mambo yameharibika ndio unajidai huna chama?pole sana ila ujue hiyo ndiyo siasa

mkuu hili suala la kuwa ccm nimelikana siku nyingi sana, kwanza ungejua ninavyoichukia ccm wala usingeandika haya humu. nimejiunga humu takriban miaka 5 sasa. angalia nimeanza kuchangia lini? hapo mwanzo nilikuwa msomaji tu, kuchangia kwangu kulianza rasmi baada ya wapinzani tuliokuwa tunawategemea kuanza kuleta mizengwe. Kufukuzwa kwa zitto kwa sababu tu alitaka kugombea uenyekiti wa chama kuliniudhi sana. unapozungumza chadema unawazungumza watu muhimu zaidi wawili. Zitto na Slaa. Hao ndo walioiuza chadema mitaani. lakini akina mbowe wamemfukuza Zitto as if alikuwa sio chochote. na wala hakupewa hata nafasi ya kujitetea kwenye vikao halali. waliokuta chadema imekomaa kama akina godless lema, tobo lisu waliotoka NCCR na TLP na kwengineko ndo wakawa na thamani kubwa kuliko wengine. kwa taarifa yako hiyo ndo sababu ya mimi kuandika humu. na kwa sasa naichukia zaidi chadema hii ya akina mbowe kuliko hata ccm.
kuachilia mbali kuwa kwa yeyote atakayekuja sitaathirika sana; lakinini pia uwezekano wa Magufuli kushinda ni 90%. lowasa na ukawa nawpa 10% tu.
sizungumzii percentage ya kura watakazopata nazungumzia probability. uelewe hilo.
na nakushauri uanze kujifanyia cancelling sasa hivi maaa usije ukafa na pressure bure.

Natamani nikumbuke ili nikukumbushe october baada ya uchaguzi.
 

Pole sana kwa kujivalisha joho la marehemu shekhe yahya,lkn naona wewe ndio umepotea kabisa,labda umegeuza kwa bahati mbaya ulichotaka kutuaminisha,kwa taarifa yako lowasa ndiyo rais wako,penda au kataa ingawa najua utakataa
 
Wakati magufuli ana 90% za ushindi El ana 100% za ushindi
 

Ati AZIMIO LA TABORA kwenye karne hii ya uchumi huria na digital world ya information technology
Yani ni sawa na kujifanya umevumbua gari la gear wakati tuko kwenye automation world
Maazimio yalikuwa ni oldest version ya uchumi shirikishi, kuwa tunaazimia kufanya hivi kwa pamoja unafanya kwa kufuata amri na mwongozo wa mtu mmoja.....Hili halipo tena siku hizi tunaazimia kufanya nini kwa pamoja huku tukiangalia kila mmoja ana nini kwenye nini
 
Pole sana kwa kujivalisha joho la marehemu shekhe yahya,lkn naona wewe ndio umepotea kabisa,labda umegeuza kwa bahati mbaya ulichotaka kutuaminisha,kwa taarifa yako lowasa ndiyo rais wako,penda au kataa ingawa najua utakataa
mkuu muda siku zote ni msema kweli. tusilumbane leo. tusubiri hiyo october maana sio mbala sana kivile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…