ACT-Wazalendo wazomewa Shinyanga

ACT-Wazalendo wazomewa Shinyanga

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Hali si shwari tena ndani ya ACT-Wazalendo mkoani Shinyanga baada ya wananchi kuamua kuwazomea viongozi wa ACT-Wazalendo waliokwenda kufanya mkutano wa kampeni.

Ni aibu sana kwa ACT-Wazalendo wanaojipambanua kupendwa hasa mikoa ya Magharibi.

Wajipange upya,walianza Geita wakaja Bukoba,wakaja Sumbawanga,wakaja Tunduma na sasa Shinyanga.
 
Hizi habari zimfikie kiongozi mkuu kabisa wa act,kuwa watanzania hawaitaki hiyo act yako
 
Hvi mama Mgwilla yupo kweli??? naona kama kiongozi wa chama anamaliza kila kitu siku hizi
 
hana ile kitu inayoitwa pesa angekua nayo nyota yake pia ingeng'aa hata hvyo sio lazma upendwe na wote
 
mm.kilicho ni kera sana ni wale makamanda wa shy ambao ndio walikuwa wahasichaji wazuri wa cdma shinyanga na kuaminiwa na wana shinyanga sasa nao wamegeuka na kuwasaliti wana wa shinyanga halali.yao kuzomewa aa
 
Back
Top Bottom