Kipindi CUF ina nguvu Polisi walikuwa busy na CUF, sahivi CHADEMA ina nguvu polisi wapo busy na CHADEMA wala hawajui kama kuna ACTHayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, kwenye ziara yake katika mkoa wa Ruvuma wilayani Tunduru ambapo amesema kuwa "Kama ACT Wazalendo wangesusia Uchaguzi wa 2025, CCM wangefurahia sana hadi kuchinja ng'ombe."
View attachment 3318362
Kwanza CCM hawajui kama kuna ACT dunianiPuppets in the making
Wanaitambua kama tawi lao😀Kwanza CCM hawajui kama kuna ACT duniani
Wasira tangu amepewa umakamo sijawahi kumsikia anatamka neno ACT/CUF/NCCR n.k yeye ni CHADEMA pekeeWanaitambua kama tawi lao😀
Wazushi tuu hawa ni ccm bHayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, kwenye ziara yake katika mkoa wa Ruvuma wilayani Tunduru ambapo amesema kuwa "Kama ACT Wazalendo wangesusia Uchaguzi wa 2025, CCM wangefurahia sana hadi kuchinja ng'ombe."
View attachment 3318362
Hawa ni chawa wa mama ni waroho wa madaraka km ccmNinyi MaACT mnachelewesha MABADILIKO ya KWELI ya DEMOKRASIA..mngeungana na wenzenu CDM kwenye No reforms no Election movement, huyu Bi Chura angesalimu mapema kabisa..
Shida yenu nyingine huwa mnaamini mnaakili kuliko Watanzania wote, mkiongozwa na yule "Mfalme" wenu wa Kigoma
Ila HIMA unganeni na wenzenu kutaka REFoRMS kwa maslahi mapana ya Mama Tanzania
Puppet not born are madePuppets in the making
So do the ACTPuppet not born are made
Wanakiita chama rafiki😀Wasira tangu amepewa umakamo sijawahi kumsikia anatamka neno ACT/CUF/NCCR n.k yeye ni CHADEMA pekee
SureWanakiita chama rafiki😀