PreGE2025 ACT Wazalendo: Tunazijua Mbinu za CCM, Tutawakabili Watakavyokuja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
980
Reaction score
3,646
TUNAZIJUA MBINU ZA CCM, TUTAWAKABILI WATAKAVYOKUJA
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 umetokana na uzoefu wa kutosha walio nao kuhusu mbinu, ujanja na mikakati ambayo CCM wanatumia katika kuhujumu vyama vya upinzani na mageuzi kwa ujumla tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

Ndugu Othman Masoud ametoa kauli hiyo akiwa kwenye ziara yake katika Mikoa ya Shinyanga na Kahama aliyoifanya tarehe 24 na 25 Mei 2025.

Amesema viongozi wa ACT Wazalendo wana uzoefu wa kutosha juu ya mbinu za CCM walioupata kwa kuongoza mapambano ya kisiasa kwa muda mrefu, na pia uzoefu wa kufanya kazi ndani ya Serikali kwenye nafasi nyeti.

"Sisi viongozi wa chama hiki tuna uzoefu mkubwa juu ya mbinu za CCM kuliko vyama vyote. Nianze na mfano wangu.. nimefanya kazi Serikalini kama Naibu Mwanasheria mkuu kwa miaka tisa, kisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kwa miaka tisa na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kwa miaka mitatu. Unadhani kwa nafasi zote hizo siijui Serikali? siijui CCM na njama zake?" amehoji ndugu Othman

Amesema uzoefu huo wa kufanya kazi Serikalini umefanya naijue CCM na mbinu zake katika kuhujumu upinzani nchini, uzoefu ambao utaifanya ACT Wazalendo isibabaishwe kwenye kufanya maamuzi

Ndugu Othman amesisitiza pia Chama cha ACT Wazalendo kimesheheni wanasiasa waandamizi wenye uzoefu wa kutosha kwenye mapambano ya kisiasa nchini na kuwatajaa Mwenyekiti wa Chama Mstaafu Juma Duni Haji, Kiongozi wa Chama Mstaafu Zitto Kabwe, Makamu Mwenyekiti Ismail Jussa na wengine wengi, uzoefu unaowafanya viongozi wa ACT Wazalendo wazijue vizuri mbinu za CCM.

Ndugu Othman Masoud funzo kubwa walilolipata kupitia uzoefu wa viongozi na wanachama wa ACT Wazalendo ni kuwa mbinu ya kususia uchaguzi haifanyi kazi kwa ufanisi dhidi ya CCM.

upinzani Mkoa wa Simiyu aliokutana nao jana tarehe 25 Mei 2025 kwa ajili ya kufafanua msimamo wa ACT Wazalendo kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 amesema kuwa silaha kubwa ya kushinda mapambano ya kisiasa ni wananchi.

"Mtaji wetu mkubwa kwenye mapambano haya ni wananchi. Wajibu wetu ni kuwahamasisha wananchi kukataa wizi wa kura na kutetea ufalme wao ambao ni haki yao ya kuchagua kiongozi wanayemtaka" alisema Othman Masoud.

Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Ndugu Othman Masoud anaendelea na ziara yake kwenye Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Mara na Mwanza iliyoanza tarehe 24 Mei na inatarajiwa kukamilika tarehe 29 Mei 2025.

Imetolewa na;
Shangwe Ayo
Naibu Katibu Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma
ACT Wazalendo
26 Mei, 2025.

A1.jpg
A2.jpg
 
Hiki nacho kichekesho kipya....🤣🤣🤣
 
Mmeshakuwa Condomu iliyotumika inabidi ishikwe kwa kijiti,mngeungana na Chadema kupinga kufanya uchaguzi
 
Stupid idiot. Baadala muungane na CHADEMA mtake uchaguzi wa haki mmebakia kujikomba CCM wawachie majimbo ya Pemba na kigoma mjini.
 
Kama mlivyowakabili kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa sio?? Kwa taarifa yenu UVCCM wameambiwa lengo ni ushindi wa 98%, nyie ACT Wazalendo endeeleni kupeleka pua zenu huko na kupoteza muda. Mjue kuwa manachangia kukwamisha mabadiliko ya kweli Tanzania.
 
TUNAZIJUA MBINU ZA CCM, TUTAWAKABILI WATAKAVYOKUJA
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 umetokana na uzoefu wa kutosha walio nao kuhusu mbinu, ujanja na mikakati ambayo CCM wanatumia katika kuhujumu vyama vya upinzani na mageuzi kwa ujumla tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

Ndugu Othman Masoud ametoa kauli hiyo akiwa kwenye ziara yake katika Mikoa ya Shinyanga na Kahama aliyoifanya tarehe 24 na 25 Mei 2025.

Amesema viongozi wa ACT Wazalendo wana uzoefu wa kutosha juu ya mbinu za CCM walioupata kwa kuongoza mapambano ya kisiasa kwa muda mrefu, na pia uzoefu wa kufanya kazi ndani ya Serikali kwenye nafasi nyeti.

"Sisi viongozi wa chama hiki tuna uzoefu mkubwa juu ya mbinu za CCM kuliko vyama vyote. Nianze na mfano wangu.. nimefanya kazi Serikalini kama Naibu Mwanasheria mkuu kwa miaka tisa, kisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kwa miaka tisa na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kwa miaka mitatu. Unadhani kwa nafasi zote hizo siijui Serikali? siijui CCM na njama zake?" amehoji ndugu Othman

Amesema uzoefu huo wa kufanya kazi Serikalini umefanya naijue CCM na mbinu zake katika kuhujumu upinzani nchini, uzoefu ambao utaifanya ACT Wazalendo isibabaishwe kwenye kufanya maamuzi

Ndugu Othman amesisitiza pia Chama cha ACT Wazalendo kimesheheni wanasiasa waandamizi wenye uzoefu wa kutosha kwenye mapambano ya kisiasa nchini na kuwatajaa Mwenyekiti wa Chama Mstaafu Juma Duni Haji, Kiongozi wa Chama Mstaafu Zitto Kabwe, Makamu Mwenyekiti Ismail Jussa na wengine wengi, uzoefu unaowafanya viongozi wa ACT Wazalendo wazijue vizuri mbinu za CCM.

Ndugu Othman Masoud funzo kubwa walilolipata kupitia uzoefu wa viongozi na wanachama wa ACT Wazalendo ni kuwa mbinu ya kususia uchaguzi haifanyi kazi kwa ufanisi dhidi ya CCM.

upinzani Mkoa wa Simiyu aliokutana nao jana tarehe 25 Mei 2025 kwa ajili ya kufafanua msimamo wa ACT Wazalendo kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 amesema kuwa silaha kubwa ya kushinda mapambano ya kisiasa ni wananchi.

"Mtaji wetu mkubwa kwenye mapambano haya ni wananchi. Wajibu wetu ni kuwahamasisha wananchi kukataa wizi wa kura na kutetea ufalme wao ambao ni haki yao ya kuchagua kiongozi wanayemtaka" alisema Othman Masoud.

Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Ndugu Othman Masoud anaendelea na ziara yake kwenye Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Mara na Mwanza iliyoanza tarehe 24 Mei na inatarajiwa kukamilika tarehe 29 Mei 2025.

Imetolewa na;
Shangwe Ayo
Naibu Katibu Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma
ACT Wazalendo
26 Mei, 2025.

ACT ni wapuuzi! Mara ngapi wamekuwa wakilizwa? Uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji na mitaa wa 2024 waliambulia nini na huo uanasheria wake?
 
Hawa ACT ni Waseng..kweli hawaeleweki wanaongea utumbo
 
Katika uchaguzi wa 2024 ACT mlishinda viti vingapi mpaka mjiaminishe kwenye
Ubunge na udiwani mtashinda?
 
hahahaha, naona ZZK ameamua kutuchekesha, EL na power zake zote alichemka, alikuwa na hela, network, watu na mifumo.

Long run ni kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki hakuna solution nyingine.

kwaheri Tehrani, uelekeo Basra na Fallujah.
 
Ok. Baada ya uchaguzi tusisikie kelele za kuibiwa kura au ujinga mwingine.
 
Huyu Othman Masoud ni mhuni tu. Anatumika na mzanzibari mwenzake huyu mwanamke kupunguza nguvu ya mabadiliko ili huyu mzanzibari aendelee kuchota fedha na kuinemesha Zanzibar.
 
Back
Top Bottom