ACT Wazalendo ni Hizbu ut-Tahrir?

ACT Wazalendo ni Hizbu ut-Tahrir?

Wachumi wamewakilishwa kwa ufasaha na mchumi mbobezi Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka ; Lipumba hana cha kuongeza hapo la sivyo anaweza jikuta anadhalilika!!
lipumba huyu wa cuf masalia? Duh! Atapinga nini yule wakati anaonekana wazi yuko upande wa pro mkataba
 
Kwanini asiungane na wenziwe kusema kwa sauti moja?

Anapendaga sana kujitenga hata wakati ule wa Katiba Mpya alikuwa wa kwanza kujiondoa.

Haamini ktk dhana ya "Umoja ni nguvu" ndiyo maana hana akidi.

Watu kama hawa hawawezi kukubalika kwenye kizazi hiki kipya kinachothamini mashirikiano kwy maslahi ya umma.

Hata akipewa nchi huyu ataiondoa toka jumuiya za kimataifa na kikanda ili aiunganishe na OIC labda.

Anapenda sana kujitenga huyu. Hata ndani ya Chama chake kuna vikao vya Chama hayuko pamoja navyo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
kwenye mabaraza ya wale ndugu akiingia na kupewa nafasi ya kusalimia anatoa salam ndefu ya kidini kana kwamba ni kiongozi wa kidini kitu ambacho hakipendezi kwa mwenyekiti wa taifa kujinasibu kwa dini yake hadharani hata kama kaingia kwa ndugu zake katika imani sio vizuri hivyo. Kile chama anachokiongoza ni cha watanzania
 
Kwenye sakata la TPA vs DP World, Zitto Kabwe amechagua kuwa Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani ambaye hakupenda asilani mapinduzi matukufu.

Huenda Prof. Lipumba naye kwa kimya chake anatafakari kuungana naye.

Aliisaliti nchi kwenye Tume ya Madini, alinuka rushwa kwenye PAC akiwa M'kiti wake akitisha/akishinikiza Bodi na Menejimenti za Mashirika ya Umma kumpa bahasha, ameisaliti Tanganyika (Tz Bara) kwenye sakata la TPA na DP World kwa kutounganisha nguvu na wenzie.

Huenda naye tunapata mashaka alienda Burji Khalifa kwa wakati wake kuchukuwa chake.

Ila nguvu ya uuma wenye uzalendo (umma ulioweka kando tofauti zao na kuamua kuungana pamoja kuokoa hatima na mustakabali wao) umemthibitishia kuwa mlungula aliopokea Burji Khalifa kumbe ni kitanzi chake tu na kwamba kuchagua kwake kuwa kinyume na umma huo kunamporomosha kisiasa na kutamfungia milango ya fursa za kisiasa Tanganyika.

Safari hii tutachagua chama kulingana na msimamo kilichochukuwa kwenye sakata la bandari na rasilimali za Tanganyika (Tz Bara).

Wapinzani wa kweli safari hii acheni kugombea urais (muiachie CCM urais) tafuteni kwa udi, uvumba na manemane kuingia Bungeni kuiokoa nchi.

Wapinzani hamuwezi kuishinda CCM kwenye nafasi ya urais hata mkiungana wote kwa sababu nafasi ya urais haitegemei kura za kwenye masanduku, rais haingizwi ikulu na kura anaingizwa na dola.

Kumshinda rais kwenye uchaguzi ni ndoto ila ni rahisi kumuondoa kupitia Bunge. Mwacheni ashindaye ashinde ila kamsubirini Bungeni.

Zitto, 2024 na 2025 zinabisha hodi. Jitathmini mapema kama wewe ni Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe au Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani (Zaim).

Hizbu ni watu wa namna gani?
Nakumbuka ata CCM kwenye mabango yao siku ya kumbukumbu ya mapinduzi waliwananga.
 
Lipumba kaupinga mkataba
Asiingeupinga ningemshangaa kwani kwa kawaida ni mwenye msimamo wa uzalendo kwani anaelewa athari ya nchi kuwa dependent on outside powers!! Samia hakupata fursa ya kueleweshwa athari za ecocnomic dependency , ndio maana anakopa kama hana akili nzuri hajui ukikopa lazıma ulipe ama sivyo utaiweka nchi yako rehani!!
 
kwenye mabaraza ya wale ndugu akiingia na kupewa nafasi ya kusalimia anatoa salam ndefu ya kidini kana kwamba ni kiongozi wa kidini kitu ambacho hakipendezi kwa mwenyekiti wa taifa kujinasibu kwa dini yake hadharani hata kama kaingia kwa ndugu zake katika imani sio vizuri hivyo. Kile chama anachokiongoza ni cha watanzania
Mtatiro anamjuwa vizuri.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye sakata la TPA vs DP World, Zitto Kabwe amechagua kuwa Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani ambaye hakupenda asilani mapinduzi matukufu.

Huenda Prof. Lipumba naye kwa kimya chake anatafakari kuungana naye.

Aliisaliti nchi kwenye Tume ya Madini, alinuka rushwa kwenye PAC akiwa M'kiti wake akitisha/akishinikiza Bodi na Menejimenti za Mashirika ya Umma kumpa bahasha, ameisaliti Tanganyika (Tz Bara) kwenye sakata la TPA na DP World kwa kutounganisha nguvu na wenzie.

Huenda naye tunapata mashaka alienda Burji Khalifa kwa wakati wake kuchukuwa chake.

Ila nguvu ya uuma wenye uzalendo (umma ulioweka kando tofauti zao na kuamua kuungana pamoja kuokoa hatima na mustakabali wao) umemthibitishia kuwa mlungula aliopokea Burji Khalifa kumbe ni kitanzi chake tu na kwamba kuchagua kwake kuwa kinyume na umma huo kunamporomosha kisiasa na kutamfungia milango ya fursa za kisiasa Tanganyika.

Safari hii tutachagua chama kulingana na msimamo kilichochukuwa kwenye sakata la bandari na rasilimali za Tanganyika (Tz Bara).

Wapinzani wa kweli safari hii acheni kugombea urais (muiachie CCM urais) tafuteni kwa udi, uvumba na manemane kuingia Bungeni kuiokoa nchi.

Wapinzani hamuwezi kuishinda CCM kwenye nafasi ya urais hata mkiungana wote kwa sababu nafasi ya urais haitegemei kura za kwenye masanduku, rais haingizwi ikulu na kura anaingizwa na dola.

Kumshinda rais kwenye uchaguzi ni ndoto ila ni rahisi kumuondoa kupitia Bunge. Mwacheni ashindaye ashinde ila kamsubirini Bungeni.

Zitto, 2024 na 2025 zinabisha hodi. Jitathmini mapema kama wewe ni Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe au Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani (Zaim).
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Inawezekana upo sahihi.

Lakini jitahidi kujiepusha na DHANA nyingi kwani siyo nzuri.
 
Kiufupi tu Ikulu iachane na huo mkataba Maana umeshaligawa Taifa kidini na Kuweka Muungano kwenye wakati mgumu sana .

Baadhi ya waislam wenye ushawishi mkubwa na waliokua wanafaidika na misaada Toka Kwa Waarabu wao hawaoni shida rasilimali za Watanganyika Wa Bara kuporwa na Waporaji kupewa miundo mbinu Yote ya kupitisha Mali ghafi na kukusanya fedha kwenye Bandari mpaka zile za majahazi na mitumbwi kule kilombero.
Wao Suala la bandari limegeuka kuwa Ibada.

Sasa Kwa Hali hii nchi imeshahawanywa kidini Kwa sababu wanaokuja wanakuja Kwa agenda za kidini kuhalalisha uvamizi wao kama walivyokuja walowezi na kukaribishwa na Wamissionary waliokua wametangulia.

Baadhi ya waislam wanatumia mitandao kuhamasisha waislam wote waunge mkono uporaji Wa bandari za nchi isiyofungamana na Dini . Chaajabu wameacha bandari za Zanzibar Ambayo ni nchi ya Kiislam.
Hapa Kuna agenda Gani zaidí ya kuwafarakanisha Watanganyika Kwa misingi za Dini na kuwanufaisha Wageni.

Hakuna Tena hoja za kiuchumi ,ajira Kwa wazawa ,usalama Wa nchi Badala yake wameibuka watu wanaofadhiliwa na wageni kuingiza masuala ya Dini kwenye mambo makubwa na ya Vizazi vyetu Kwa tamaa za kuletewa halua na tende.

Ni Bora angepewa Bahressa aendeshe hiyo bandari kuliko Mwarabu mwenye nchi yake na watu wake kule Dubai.
Bahressa tumeshamzoea na amefanya Vizuri kwenye uwekezaji. Na pia akishindwa ni rahisi kumshughulikia Kwa Sheria zetu .

Waarabu Wageni Toka familia ya Kifalme wakikosea au wakiamua kushirikiana na wapigaji na kuchepusha mapato ya nchi kama wanavyofanya kule Loliondo na Wazungu kule Geita hakuna cha kuwafanya mana mikataba ilisainiwa bila kuangalia mitego inayowabeba . Matokeo yake tutaibiwa kisheria na tukikataa kuibiwa tutapelekwa mahakama za kimataifa na watakao lipa ni Watanganyika wote huku Wezi na wahuni WAKIWA wanaishi maisha ya anasa na familia zao na kujifanya kuwa ni wafadhili na watu wanaopanga nani awe Mbunge au waziri Ili waendeleze uhuni wao.

Mkataba huo Wa DPW uachwe utalipeleka Taifa kubaya na ugaidi Utakua mkubwa Ili Wezi wapate nafasi ya kuiba wakati tukiwa yunakimbizana na magaidi wao wanangata na kupuliza Kwa kufadhili ugaidi . Hawa ni Wawekezaji Wa kutafuta Mali za Dunia SIO Malaika na hawajawahi kuwa Malaika ndio Maana Hata kwenye nchi zao wamewekewa SHERIA Kali mana ni binadamu Kama walivyowengine.

Vinginevyo watuambie kuwa kuna watu Nyuma ya DPW amabo ni Watanganyika na Wazanizibar walioamua kujificha Nyuma yake.

Amani ikipotea wanaoumia SIO watoto Wa Wakubwa Wala watoto Wa mashekhe Wala mapadri Bali ni Watoto Wa Maskini watakaoamua Kujiunga na Majeshi Kwa ajili ya Kuweka rehani NAFSI zao Ili Hao viongozi Wa Dini wanaofadhiliwa na Matajiri Toka nje waishi Kwa Amani.
 
Kwenye sakata la TPA vs DP World, Zitto Kabwe amechagua kuwa Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani ambaye hakupenda asilani mapinduzi matukufu.

Huenda Prof. Lipumba naye kwa kimya chake anatafakari kuungana naye.

Aliisaliti nchi kwenye Tume ya Madini, alinuka rushwa kwenye PAC akiwa M'kiti wake akitisha/akishinikiza Bodi na Menejimenti za Mashirika ya Umma kumpa bahasha, ameisaliti Tanganyika (Tz Bara) kwenye sakata la TPA na DP World kwa kutounganisha nguvu na wenzie.

Huenda naye tunapata mashaka alienda Burji Khalifa kwa wakati wake kuchukuwa chake.

Ila nguvu ya uuma wenye uzalendo (umma ulioweka kando tofauti zao na kuamua kuungana pamoja kuokoa hatima na mustakabali wao) umemthibitishia kuwa mlungula aliopokea Burji Khalifa kumbe ni kitanzi chake tu na kwamba kuchagua kwake kuwa kinyume na umma huo kunamporomosha kisiasa na kutamfungia milango ya fursa za kisiasa Tanganyika.

Safari hii tutachagua chama kulingana na msimamo kilichochukuwa kwenye sakata la bandari na rasilimali za Tanganyika (Tz Bara).

Wapinzani wa kweli safari hii acheni kugombea urais (muiachie CCM urais) tafuteni kwa udi, uvumba na manemane kuingia Bungeni kuiokoa nchi.

Wapinzani hamuwezi kuishinda CCM kwenye nafasi ya urais hata mkiungana wote kwa sababu nafasi ya urais haitegemei kura za kwenye masanduku, rais haingizwi ikulu na kura anaingizwa na dola.

Kumshinda rais kwenye uchaguzi ni ndoto ila ni rahisi kumuondoa kupitia Bunge. Mwacheni ashindaye ashinde ila kamsubirini Bungeni.

Zitto, 2024 na 2025 zinabisha hodi. Jitathmini mapema kama wewe ni Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe au Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani (Zaim).
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Zitto ni mdini
 
Back
Top Bottom