ACT Wazalendo ni Hizbu ut-Tahrir?

ACT Wazalendo ni Hizbu ut-Tahrir?

ACT ni Muslim Brotherhood wale!

270px-Muslim_Brotherhood_Emblem.svg.png
 
Zito hamumuwezi nyie kenge, shughulikeni na yenu chato huko.

Kumchafua zitto hamjaanza leo lakini kila mara anawapiga dole la kati tu nyote..........hamtamuweza sasa hivi na visiasa uchwara vyenu. Kama la bandari limewashinda semeni tu ili tobo, oops sorry, kumbe ni tundu ajiandikie nauli na posho za ruzuku arudi zake ubelgiji.

Si kila anayepinga swala hili la bandari basi yupo pamoja nanyi na anaropoka ropoka hovyo, wengine wana namna zao za kusema. Na si kila anayeliunga mkono basi ana ugomvi wa 'kiukewenza' na mama. Wengine wako smart kichwani.
Aliyemshauri vibaya (kijasusi) Maalim kwenda Chato na aliporudi akaingia na kuishia ICU ni nani kama siyo Zitto ili aondoe kiwingu cha Maalim kilichomzonga ACT Wazalendo!

Mbwa jike mwenye kaswende wewe (filimbi lako limeshambuliwa na kaswende na kuwa kama popcorn) huko uliko hujajuwa Zitto ni Wakala na Dalali anayewauza mmoja baada ya mwingine!? Ma Hizbu ut-Tahrir nyie lini mtaacha kuliwa tigo ki-suna kama kafara la Ki-ha ili mambo ya Sultani wenu yafanikiwe.

Ma Hizbu ut-Tahrir hamuwezi kazi za siasa, zaraa wala ijtimaa bali udini tu. Mnahangaika na Tarjuma bila Ilimu. Dhurka, Talasini na Yasini mliomtupia Maalim yanawarudi nguruwe nyie.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Oh, kumbe tunaongea na kichaa hapa!!
 
Wanasheria wamechambua mkataba (call it MoU) hadi mwisho wa upeo.

Viongozi wa Dini nao wameuchambua na kuonyesha mianya ya kuvuruga amani ya nchi.

Wanaharakati nao wanafanya zamu yao.

Wasanii nao hawakubaki nyuma kuwakosoa wenzao akina Steve Nyerere na wenzake.

Wanahabari nao wapo walioibuka kukosoa uzalendo wa mwenzao Maulid Kitenge.

Sasa tulitegemea wanaojiita Wachumi wabobezi-wapinzani Zitto Kabwe na Ibrahim Lipumba nao watumie taaluma zao kuchambua madhara ya kiuchumi ya mkataba (MoU) ili umma ujuwe lakini wamechagua kusimama upande wa Mangungo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwa Lipumba labda hukumfuatilia. Lipumba aliupinga mkataba waziwazi.
 
Ni udini udini tu ndio unawafanya wanasiasa wawe wanafiki. Huyu ni mwenzetu katika imani ndio inafanya akina zito wakae kimya. Kufanya siasa za namna hii ni unafiki
Kwasababu Samia si mwenzetu katika iman ndo maana sisi chadema tunahangaika naye
 
Na kina Padri Slaa na Maaskofu wameona huyu si mwenzetu ndo mana wanamshambulia?
upumbavu ficha, magu alikuwa mwenzao? Maaskofu wanampa nakozi za uso yeyote hawaangalii dini wale. Uvurunde halafu wakuache? Kasome visa vya wafalme na makuhani/manabii uone jinsi wafalme waliokengeuka walivyopewa za uso na makuhani/manabii wa wakati wao
 
Back
Top Bottom